Miaka miwili Tangu njiunge JF

Miaka miwili Tangu njiunge JF

Happy birthday my dear! We wish u the best in jf now and years to come!
 
Umeona eeh? yaani apa kazi ni moja tu yasije yakadondoka kabla hayajafika penyewe. Msalimie sana mzee mwenzangu Dark City

Jitahidi sana, uhondo wa huku unahiajie hiyo kitu mingi ati.

Saklamu za mzee mwenzio zitakuwa zimefika.
 
Back
Top Bottom