KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
- Thread starter
- #121
Last edited by a moderator:
charminglady tuliza moyo urudiane na mumeoo!!KOKUTONA na Vin Diesel nawatizama mjue...... ngoja nitatupia langu la moyoni baadayeeeeeee
Chachu Ombara kama ni ndoa, umechelewaaaaaa.
It is just teaching each other languages, RIGHT?
Tena msuba wa congoPowa tutacheki na time. Hiyo AVATER unakula msuba?
Vin Diesel umenisaidia sana. SHUKRIAAAmkuu hapa pamejaa kajaribu kwingine.....
See you then, I cant wait.......When?
Umevunja ndoa ya Vin Diesel na charminglady. Mioyo yao imekonda usipime.
mie najua ya Vin Diesel na Mamndenyi tu! ya huyu charminglady siitambui! kwanza alianza kumzengezengea siku ya white party!!! nikaweka solex XXL!
im afraid you gotta learn to keep distance from Vin Diesel from this very moment! !!!:shut-mouth:
Ha haaa, kumbeeee?
Hebu mimi nisujijazie jasho buureeee.
charminglady umeyasikia ya Paloma?
Na wewe Vin Diesel kwa nini unacheza na feelings za watuuu?
mie najua ya Vin Diesel na Mamndenyi tu! ya huyu charminglady siitambui! kwanza alianza kumzengezengea siku ya white party!!! nikaweka solex XXL!
im afraid you gotta learn to keep distance from Vin Diesel from this very moment! !!!:shut-mouth:
Usinikuumbushe nikaanza kukilonga hapa lol
haswaaaaa.....!!
natarajia kuja huko bibie ntakutafuta tukapate dinner pale Panori tuongee mkakati kuhusu Vin Diesel
Mualike charminglady naye akuje!!!