Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
hujambo mdada? Msalimie sana wera kimya huko jameni
happy birthday KOKUTONA.....nafurahi kukufahamu na nina imani tutazidi fahamiana......pamoja sana
VD.
Mimi nasema karibu tena kama umeona mchango wangu ulikuwa na manufaa basi usisite tena kujakuulizia kitu kingine au kutafuta msaada waina yoyote ile ni mekuruhusu any needful you dare are welcomed......Hapa ni uwanja mpana haujai..ilashukuru naomba nikuhaidi tutaendelea kushirikiana kwanjia zote tutakazopenda kushirikiana karibu!!2 KakaKiiza, Daah, hata sijui nianzie wapi kwako. But nifupishe kusema ahsante sana. You Know what i mean and i mean it. Kwa ujumla you helped me much.
NAWAPENDA WOOTE JF MEMBERS
IN MY TWO YEARS BIRTHDAY IN JAMIIFORUMS
Yashikilie na ndimu hadi utakapokuja.
Ukiyaacha yadondoke yote utauonjaje ukarimu wa watu wa Tanga lol
Mimi nasema karibu tena kama umeona mchango wangu ulikuwa na manufaa basi usisite tena kujakuulizia kitu kingine au kutafuta msaada waina yoyote ile ni mekuruhusu any needful you dare are welcomed......Hapa ni uwanja mpana haujai..ilashukuru naomba nikuhaidi tutaendelea kushirikiana kwanjia zote tutakazopenda kushirikiana karibu!!
Naona neema inazidi kushukia kutoka Tanga ninaujio! Arushaone kaka DARKCITYHow lovely of you KakaKiiza.
I will dare come to you with no hesitation,because i know i will get what i want from you.
Kwako my questions will be answered, my need will be fulfilled, my problems will be attended, and vice versa is true, then why not.
I will be there soon brother.