Una maoni juu ya nini kifanyike zaidi?
- Kutoka JamboForums (August 2006) kwenda JamiiForums (April 200.
- Inapata hits zaidi ya 30mil kwa mwezi (August zimefikia 42mil)
- Imekuwa ranked kama site inayotembelewa zaidi na Graduates na Quantcast
- Asilimia 67.2 ya wanaoitembelea kwa sasa ni kutoka Tanzania
- Ina ofisi zake Jijini Dar ambazo zitazinduliwa rasmi mwezi huu (Septemba)
- Ipo chini ya Jamii Media Inc (iliyosajiliwa Tanzania kama kampuni mwaka 200
- Haijajitangaza, inajulikana kwa wengi kwa 'word of mouth'
- Imekuwa listed katika World Big Boards mwaka 2008
- Ina radio yake (Jambo Radio) tangu 2003 yenye International License
- Wafadhili wake ni wanachama wake na watanzania wachache wanaojitolea japo hawajajisajili bali wanasoma tu.
Yatakayofanyika kuanzia September:
Mengine tutafahamishana mbeleni
- Kuanzisha Live Support Crew ambayo itakuwepo 24hrs ili kumsaidia yeyote mwenye uhitaji wa msaada wa haraka ndani ya JF
- Kuajiri moderators maalum watakaokuwa online 24hrs kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
- Kushirikiana na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali na za kiserikali katika masuala yote muhimu katika ujenzi wa Taifa
- Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi
- Kufuatilia kwa karibu kabisa habari zote zinazohusiana na Uchaguzi 2010 na 2015 ikiwa ni kwa maandishi na picha.
- Kutoa huduma ya "Hosting" kwa Tshs 15,000/= kwa mwezi kwa wote wenye kuhitaji huduma ya web hosting
- Kuanzisha gazeti huru la JF... Jina kapuni
.... Fungua njiaaa mtoto kaanza tambaa!Yatakayofanyika kuanzia September:
Mengine tutafahamishana mbeleni
- Kuanzisha Live Support Crew ambayo itakuwepo 24hrs ili kumsaidia yeyote mwenye uhitaji wa msaada wa haraka ndani ya JF
- Kuajiri moderators maalum watakaokuwa online 24hrs kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
- Kushirikiana na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali na za kiserikali katika masuala yote muhimu katika ujenzi wa Taifa
- Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi na Kijamii
- Kufuatilia kwa karibu kabisa habari zote zinazohusiana na Uchaguzi 2010 na 2015 ikiwa ni kwa maandishi na picha.
- Kutoa huduma ya "Hosting" kwa Tshs 15,000/= kwa mwezi kwa wote wenye kuhitaji huduma ya web hosting
- Kuanzisha gazeti huru la JF... Jina kapuni
I'm happy to belong to the class of 2006. Tumetoka mbali na tunakoelekea hatujafika bado lakini tutafika tu. Super big ups to all of you who make this thing happen.
Nyani nimegundua kumbe tu kundi moja la vizee vya JF"😕. Ama tusema ndo vingunge wa JF?
Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumiMengine tutafahamishana mbeleni
Una maoni juu ya nini kifanyike zaidi?
- Kutoka JamboForums (August 2006) kwenda JamiiForums (April 200.
- Inapata hits zaidi ya 30mil kwa mwezi (August zimefikia 42mil)
- Imekuwa ranked kama site inayotembelewa zaidi na Graduates na Quantcast
- Asilimia 67.2 ya wanaoitembelea kwa sasa ni kutoka Tanzania
- Ina ofisi zake Jijini Dar ambazo zitazinduliwa rasmi mwezi huu (Septemba)
- Ipo chini ya Jamii Media Inc (iliyosajiliwa Tanzania kama kampuni mwaka 200
- Haijajitangaza, inajulikana kwa wengi kwa 'word of mouth'
- Imekuwa listed katika World Big Boards mwaka 2008
- Kwa wastani mtu hukaa muda wa dakika 16.1 kwa siku ndani ya JF
- Ina radio yake (Jambo Radio) tangu 2003 yenye International License
- Wafadhili wake ni wanachama wake na watanzania wachache wanaojitolea japo hawajajisajili bali wanasoma tu.
Yatakayofanyika kuanzia September:
Mengine tutafahamishana mbeleni
- Kuanzisha Live Support Crew ambayo itakuwepo 24hrs ili kumsaidia yeyote mwenye uhitaji wa msaada wa haraka ndani ya JF
- Kuajiri moderators maalum watakaokuwa online 24hrs kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa
- Kushirikiana na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali na za kiserikali katika masuala yote muhimu katika ujenzi wa Taifa
- Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi
- Kufuatilia kwa karibu kabisa habari zote zinazohusiana na Uchaguzi 2010 na 2015 ikiwa ni kwa maandishi na picha.
- Kutoa huduma ya "Hosting" kwa Tshs 15,000/= kwa mwezi kwa wote wenye kuhitaji huduma ya web hosting
- Kuanzisha gazeti huru la JF... Jina kapuni
Kuanzisha zawadi maalum kwa watanzania watakaokuwa wanafanya vizuri katika nyanja mbalimbali hasa kisiasa na kiuchumi
Mungu akuzidishie Jamii forums founder Maxence Melo kwa kupewa hekima za ajabu na muumba kuanzisha kitu kama hiki.
Moderators wote hongereni kwa kazi nzuri mnayofanya,maana kwa namna moja au nyingine nyie ndio mnahakikisha kila kitu kipo sawa.