Tuashinda tena sijui unatumia nini kufikiria.
Uongo hauna tija hapa, tujenge sio kubomoa.
Leto,usongo,msinga,kwalakamu kahe mbomainayeme keni,mrere,katangara,mkuu mjini,maharo,makiidi,shimbi masho,mashami,mashariki na kati,nguduni na mahango huko kote wataka kusema chadema tulishindwa? Kama tulishinda mbona ndiko mbunge alifanyanya kampeni na maeneo mengine mengi sasa mbona inakinzana na kauli zako kuwa alikofanya kampeni tulishindwa vibaya sana!
Hao wagombea wenu wa ubunge walifanya kampeni wapi mbona viongozi wa chama hatukuwaona wala kuwasikia?
Mbunge wetu wa chadema tulimuona na hata bila msaada wa mtu kutoka nje ya jimbo, ngoja tuwasubirie, mtatukuta jimboni.