Miaka mitano ya Romani Selasini Rombo, ni sifuri

Kijana nimekusoma vizuri na mawazo yako amabayo kwakweli kama sio mtaalamu na mauelewa wa mawasiliano unaweza dhani kuwa unayosema ni kweli. Tuanzae na suala ala mawasiliano. Mbunge kama mbunge hana uwezo wa kuwaambia Vodacom au Safaricom wafunje mkataba wao ambao unaruhusu mtu mwenye line ya Vodacom Tanzanaia kupata mawasliliano yake kawaida akiwa kenya kupitia huduma ya Safaricom bila kubadilisha line. Hiyo ni huduma nzuri sana kwa wana rombo kwani imesababisha wafanyabiashara kupunguza hasara kwani wanatumia line moja wakiwa Kenya na Tanzania. Pia gharama za uendeshaji wa simu ni ndogo kwani unaweza kujiunga na kifurishi ukiwa Kenya na kupiga simu tanzania ukiwa Kenya kwa gharama moja sawa na aliyeko nyumbani Tanzania. Muungiliano wa mawasiliano unatokea kwani rombo hasa Usseri na Tarakea mitambo ya safaricom iko karibu so inasence ukiwa Tanzania na kukutumia ujumbe wa Karibu Safaricom kenya. Kama hutaki huduma ya Safaricom Kenya ni wewe kuingia kwenye Settings sehemu ya network na kuchagua Vodacom tanzania only na hutaona tena muingiliano wa mawasiliano kutoka Safaricom. Ila kwakuwa wewe ni kilaza wa haya mambo unakuja huku jukwaani nakuandika uongo ambao huwezi kuutetea tofauti na kucreate attention tu. Mimi natokea rombo kama wewe na watu wengi wa kule wanalijua hilo ndo maana hata siku moja hujasikia wakilalamika tofauti na wewe tu. Kumbe hujui maana ya global world. nenda vodacom ulipo watakupa mwongozo wa nini cha kufanya kijana. Sis kule Rombo tuna wazazi na ndugu zetu wengi na tunawapata hewani safi kabisa maana wanachofanya ni settings ya local network kwenye simu zao. wakijisika kutumia safaricom kama vodacom ina tatizo, wanatumia na wakiamua watumie vodacom peke yake ni uamuzi wao. Huoni kama kule rombo kuna baraka kuliko huku sisi tulipo ambapo network ya vodacom ikikata unapack simu ndani?
Kingine ni umeme wa REA> mm niko kanda ya Ziwa na ukilinganisha na rombo kule kuna nafuu maana trans-formas zishafungwa ni utaratibu wa distributions tu umekwama kwasababu ya wizi wa serikali yako ya CCM ambao walitumia hela za REA bila utaratibu na kusababisha kusitishwa kwa huduma ya hela kutoka kwa wafadhili. pia serikali yako sikivu ilitumia hela ambazo zilitengwa na miradi ya REA kwaajili ya kulipa wafanyakazi na kugharamia safari za rais hivyo mfuko wa REA kukwama na kusimama kwa muda. Kila kona wameotesha manguzo hapa tanzania lakini tatizo ni waya na transforma kama ambavyo TANESCO wanalalamika. No research just keep quiet kijana. Tanzania nzima nguzo zimeotehwa lakini hakuna waya kwasababu fedha za REA zimetumika kulipa mishahara na Safari za rais, Kugharamia sherehe za CCM na kampeign ya piga ua katiba ipite badala ya kuwaletea wananchi maendeleo. jaribu kudadavua ndo uje na analysis yako ya uongo kaka. Nakutakia siku njema.

<<<<<OP<<<
 
nadhani ungeeleza alichokifanya badala ya kukimbilia kusema ni uwongo. Unaweza kulinganisha maendeleo ya Mramba na Selasini?
 
Shemeji zangu Wana Rombo mtajutia sana uamuzi wenu wa kumuondoa Mramba.
 
Alichokifanya ni kutuwakilisha sisi wana rombo na mpaka sasa maish aya Rombo huwezi kuyalinganisha na Bunda kwa Waziri wa Kilimo aliyeshindwa ofisi ya rais. Kwa ninavyoinona Rombo kipindi cha Mramba cha maika 15 ni tofauti sana na kipindi cha selasini miaka minne. Maana wewe uko kwaajili ya kubisha inabidi uachwe tu. Ninachofurahi ukweli unaujua ila kiroho cha kwanini kinakusuta.
Labda mramba alifaulu sana kutumia vibaya rasilimali za nchi na ndomaana mpaka leo yuko mahakami kujibu mashtaka. Pia nimpongeze kwa kutulisha nyasi ili rais apae kwa ndege yake binafsi.
 
Kijana huo ushemeji ni wa Super glue au vipi? kama kungekuwa hakuna huduma bora huyo Mrembo wa rombo angeng'araje ili umtamani wewe Msala? Sio lazima kila topic ucoment
 
haya ni majungu tu unadhani kila mtu anajua Bunda? Selasini kuwataka wananchi wapige tembo risasi nadhani alitumia akili kama ya kwako. Yeye selasini hajaiba na pia hajafanya kitu rombo. Warombo siyo wafugaji wa mbwa asiyebweka. Wewe ndo kiroho kinakusukuma kwani unapita kwenye lami iliyowekwa wakati wa Mramba badala ya kutumia masaa matatu kutoka mosh unatumia saa moja. Selasini hata kuhamasisha wananchi wachimbe kisima hamna!
 
kushinda vijiji ndo maendeleo? Wahi ICU mkuu

Kushinda vijiji maana yake watu wamemkubali yeye na chama chake na inaonyesha kuna vitu amefanya toa ushahidi kama alikwenda kwenye Taasisi husika kuomba hivyo vitu na akashindwa kuwashawishi la sivyo ni porojo tu
 
Kijana huo ushemeji ni wa Super glue au vipi? kama kungekuwa hakuna huduma bora huyo Mrembo wa rombo angeng'araje ili umtamani wewe Msala? Sio lazima kila topic ucoment

kwa koment kama hizi inaonyesha wewe ni mnenguaji.
 
Umemjibu vema Mkuu labda ajitoe ufahamu au awe anatumika sana ndio anaweza kuendelea kupiga porojo zake
 
Kushinda vijiji maana yake watu wamemkubali yeye na chama chake na inaonyesha kuna vitu amefanya toa ushahidi kama alikwenda kwenye Taasisi husika kuomba hivyo vitu na akashindwa kuwashawishi la sivyo ni porojo tu

kama alikwenda, vingeonekana.
 
Siku hizi Selasini anakusanya kodi za Wananchi? Hayo yote uliyoyasema ni kazi ya Serikali iliyoko madarakani... Ifike mahala watanzania muache kujidharaulisha kwa uelewa mdogo ... Jiendeleze zaidi kielimu ewe Sirluta aka Sharmuta ..
 
wewe ndo kilaza namba moja hahahaha. Kwahyo kazi ya mbunge ni kuhudhuria bungeni?
 
Kijana huo ushemeji ni wa Super glue au vipi? kama kungekuwa hakuna huduma bora huyo Mrembo wa rombo angeng'araje ili umtamani wewe Msala? Sio lazima kila topic ucoment
Shemeji mbona unakuwa mkali tena?
 
Back
Top Bottom