Miaka mitano ya Romani Selasini Rombo, ni sifuri

Miaka mitano ya Romani Selasini Rombo, ni sifuri

Achakutumia maka.lio kufikiri... unazidi kujidhalilisha ... Mbaya zaidi unajiona kipanga wakati ni KILAZA category A...
wewe ndo kilaza namba moja hahahaha. Kwahyo kazi ya mbunge ni kuhudhuria bungeni?
 
haya ni majungu tu unadhani kila mtu anajua Bunda? Selasini kuwataka wananchi wapige tembo risasi nadhani alitumia akili kama ya kwako. Yeye selasini hajaiba na pia hajafanya kitu rombo. Warombo siyo wafugaji wa mbwa asiyebweka. Wewe ndo kiroho kinakusukuma kwani unapita kwenye lami iliyowekwa wakati wa Mramba badala ya kutumia masaa matatu kutoka mosh unatumia saa moja. Selasini hata kuhamasisha wananchi wachimbe kisima hamna!
Kwani ulitaka ang'oe hiyo lami aweke nyingine? acha ushamaba kijana uje kwa point zenye akili kama msomi. Lami imetoka Marangu mpaka Rongai amabyo ni mradi wa world Bank. Hata pasingekuwa na mbunge ingewekwa so Mramba has nothing to do with it. Okay boy???
 
kwa koment kama hizi inaonyesha wewe ni mnenguaji.
Ulivyo kiumbe cha ajabu ukikosa point unaatack watu kwa matusi kama haya ya kijinga. sijui wewe ni msalani au vipi maana kaulizwa yeye wewe ukajibu. sasa Nisaidie wewe ndiye sababu ya Msalani kuita Warombo shemeji tujue nini? Angalia usijeitwa wifi mtoto wa Kiume.
 
jimbo la rombo linawanyima usingizi sana,na bado mwaka huu mtakufa kabisa,hukumbuki mama kitali alivopandwa presha kwa sabab ya dharau zake? au mramba alivodhalilishwa kwa kupigiwa kampeni za kinafiki warombo wakala pesa matokeo yalivotangazwa bendera ikapeperushwa na walewale,rombo wajanja sana hapa ni mwendo wa kulinda kura tu,mkimchomeka mwizi wa kura ka awamu ile hapatakalika
 
Kwani ulitaka ang'oe hiyo lami aweke nyingine? acha ushamaba kijana uje kwa point zenye akili kama msomi. Lami imetoka Marangu mpaka Rongai amabyo ni mradi wa world Bank. Hata pasingekuwa na mbunge ingewekwa so Mramba has nothing to do with it. Okay boy???

mkuu umeshikwa pabaya, shusha presha, lete point, jibu swali, Selasini amefanya nini rombo?
 
Ulivyo kiumbe cha ajabu ukikosa point unaatack watu kwa matusi kama haya ya kijinga. sijui wewe ni msalani au vipi maana kaulizwa yeye wewe ukajibu. sasa Nisaidie wewe ndiye sababu ya Msalani kuita Warombo shemeji tujue nini? Angalia usijeitwa wifi mtoto wa Kiume.

ukizoea kuvaa sidiria unadhani wote ni wa kike kama wewe, lete hoja umekuwa Miriam Migomba?
 
jimbo la rombo linawanyima usingizi sana,na bado mwaka huu mtakufa kabisa,hukumbuki mama kitali alivopandwa presha kwa sabab ya dharau zake? au mramba alivodhalilishwa kwa kupigiwa kampeni za kinafiki warombo wakala pesa matokeo yalivotangazwa bendera ikapeperushwa na walewale,rombo wajanja sana hapa ni mwendo wa kulinda kura tu,mkimchomeka mwizi wa kura ka awamu ile hapatakalika

warombo hawawezi kuendelea kuwa masikini kwa kuwa na watu kama selasini na waganga njaa kama wewe
 
jimbo la rombo linawanyima usingizi sana,na bado mwaka huu mtakufa kabisa,hukumbuki mama kitali alivopandwa presha kwa sabab ya dharau zake? au mramba alivodhalilishwa kwa kupigiwa kampeni za kinafiki warombo wakala pesa matokeo yalivotangazwa bendera ikapeperushwa na walewale,rombo wajanja sana hapa ni mwendo wa kulinda kura tu,mkimchomeka mwizi wa kura ka awamu ile hapatakalika

na hilo jimbo lina nini?
 
Katika jimbo la Rombo ambalo lipo chini ya Romani Selasini wa Chadema, nataka nitaje mambo mawili makubwa ambayo mbunge huyo alikuwa na nafasi ya kuyasukuma ila akashindwa kutokana na kutokuwa makini katika kuishawishi serikali na taasis husika pamoja na mashirika mbalimbali.

1. Mawasiliano ya radio, tv, simu. Minara ya Rombo ipo overloaded na minara ya Kenya ambapo kulipaswa kuwa na minara yenye nguvu kuliko ya Kenya ili watu wa Rombo waweze ku-access mawasiliano toka Tanzania. Alishindwa kushirikiana na serikali pamoja na idara husika kumaliza hilo tatizo.

2. Umeme wa REA.
Sasahivi maeneo mengi hakuna hata nguzo na wengine wamebaki na manguzo baada ya kushindwa kufuatilia huo umeme na kwa wakati kama ilivyo majimbo mengine, jukumu alilowaachia baadhi ya madiwani na watendaji wale ambao vijijini kwao hamna umeme kabisa wafuatilie wenyewe huku wengi wakikwama kwani hawana uelewa wa kutosha kwa kukosa mawasiliano ya vyombo vya habari vya ndani kama radio, tv, magazeti na pia madiwani hao hawana viti kule bungeni.

Matatizo mengine ya maji, uhaba wa ajira n.k yapo sehemu nyingi. Ila kwa kifupi, hajafanya chochote kwa muda wake wa ubunge.

Uchaguzi wa serikali za mitaa umefanyika hivi karibuni na cdm kujinyakulia viti vingi zaidi ya ccm, hiyo ni ishara tosha kuzidi kukubalika kwa cdm huko Rombo. Mapambano ni makali mno kati ya serikali ya ccm kupeleka maendeleo kwenye maeneo yanayoongozwa na wapinzani. Huko huko Rombo ccm imeng'ang'ania ofisi za vijiji na mitaa kwa kudai ni mali yake. Mkuu funguka ukubaliane na ukweli kuliko kuandika humu bila ya kutafakari.Rombo ina mawasiliano ya simu hata kama baadhi ya maeneo wanatumia minara ya safaricom ya Kenya, lakini mawasiliano yapo, tofauti na mikoa mingine ambapo ukifika huko lazima simu yako uzime kabisa maana haina kazi.
 
Msubirini muone.Angekua mchumia tumbo angekua huko kwenu ccm

mmekosa hata la kumsingizia 30 rombo kwa miaka 5? Ukweli unabaki kweli hajafanya jambo lolote la maendeleo, hivyo yeye na chama chake hawatakiwi
 
ccm mmeongoza miaka mingapi na cdm mingapi ilimuone kama anatosha au atoshi
 
mmekosa hata la kumsingizia 30 rombo kwa miaka 5? Ukweli unabaki kweli hajafanya jambo lolote la maendeleo, hivyo yeye na chama chake hawatakiwi

Ben alipoalikwa kwenye sherehe ya wastaafu mwezi uliopita hapa Rombo huyo Mama Notuburga Masikini na Evod Mmanda walikuwepo na hotuba ya ben iliwavuraga wakapoteana.Walimu na wauguzi walipagawa hao wagombea wenu wakaondoka bila kuaga
 
kajifunze kusoma na kuandika
 
Jukumu la maendeleo ya Rombo ni la wote.kwani ilo panga la Zamani lilikua wapi siku sote? Kuna majembe yatakuja Ben Saanane au Frate Masika.mtulie sasa
Huu ni wakati wa upinzani kuendeleza Rombo,

Naomba kifupi cha wasifa wa hawa vijana, je wameshaongoza nini katika chama au vyuoni/makazini, ubunge sio sehemu ya kufanyia majaribio ni sehemu ya kufanya kazi, nauliza sababu siwafahamu.

Rombo ni wilaya kubwa na yenye fursa nyingi sana, ila inasikitisha sana kuona uzembe katika mambo mengi ikiweko kutokuwa na ghala la chakula, watu wanauza mahindi mpaka wanakuja kudhurika na njaa na mambo mengine kama huduma za afya, Huruma Hospital ingeweza kuendelezwa, baadhi ya watu wasingekuwa wanatoka wilayani kutafuta matibabu sehemu nyingine. Kingine ni utamaduni wa kirombo unaopotea siku kwa siku, tunahitaji mbunge atakayefungua ofisi ya wilaya ya utamaduni na historia ya Rombo na kuwa wazee wale wenye kujua nyimbo na ngoma za kirombo wanaopata support ya mbunge. Mtu ukiwa mkoani una harusi unaweza kuwakodi wakaja. Makabila mengine wanadumisha sana utamaduni wao na mila zao na wameweza kuleta hadi Mijini.

Mwisho wa wote ninaomba sifa za Ben na Frate je wanafamilia, je wameshawahi kuongoza nini? cc Mromboo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom