Miaka mitano ya Romani Selasini Rombo, ni sifuri

Huu ni wakati wa upinzani kuendeleza Rombo,

Naomba kifupi cha wasifa wa hawa vijana, je wameshaongoza nini katika chama au vyuoni/makazini, ubunge sio sehemu ya kufanyia majaribio ni sehemu ya kufanya kazi, nauliza sababu siwafahamu.

Rombo ni wilaya kubwa na yenye fursa nyingi sana, ila inasikitisha sana kuona uzembe katika mambo mengi ikiweko kutokuwa na ghala la chakula, watu wanauza mahindi mpaka wanakuja kudhurika na njaa na mambo mengine kama huduma za afya, Huruma Hospital ingeweza kuendelezwa, baadhi ya watu wasingekuwa wanatoka wilayani kutafuta matibabu sehemu nyingine. Kingine ni utamaduni wa kirombo unaopotea siku kwa siku, tunahitaji mbunge atakayefungua ofisi ya wilaya ya utamaduni na historia ya Rombo na kuwa wazee wale wenye kujua nyimbo na ngoma za kirombo wanaopata support ya mbunge. Mtu ukiwa mkoani una harusi unaweza kuwakodi wakaja. Makabila mengine wanadumisha sana utamaduni wao na mila zao na wameweza kuleta hadi Mijini.

Mwisho wa wote ninaomba sifa za Ben na Frate je wanafamilia, je wameshawahi kuongoza nini? cc Mromboo

FRATE MASIKA

-Ni msomi wa ngazi ya Stashahada na alikua anasoma shahada nafikiri

-Ni mtu mwenye Biashara zake Arusha na Useri Rombo

-Ana mke na watoto

-Mama yake ni Diwani wa Viti Maalumu CCM

-Ameshawahi kuongoza taasisi na hata NGO

-Ana miaka takribani 40

-Anatokea Tarakea

-Ni mzoefu wa mikakati kwa kuwa ana uzoefu wa hizi siasa kutoka kwenye familia ingawa wazazi wake wako itikadi tofauti na itikadi yake

BEN SAANANE:

-Ni Msomi wa digrii ya biashara (BBA) na (Masters) ya Uchumi na Masters ya Uhusiano wa kimataifa na Diplomasia kwa mujibu wa CV yake aliyoweka hadharani alipogombea Uenyekiti wa vijana Taifa kabla ya jina lake kuondolewa

-Ni Mkuu wa Idara ya sera na utafiti ya Chadema makao makuu

-Alifanya kazi kwenye kampuni ya Alpha kama meneja masoko

-Ni mjasiriamali pia

-Anatokea Tarafa ya Mashati

-Hajaoa bado ana miaka taribani 30

-Ni mzoefu pia wa mikakati kama huyo mwingine kwa kuwa tayari yupo kwenye siasa za kitaifa na ndani ya jimbo
 
Last edited by a moderator:
kushinda vijiji ndo maendeleo? Wahi ICU mkuu

wewe ni mmoja wa warombo mbumbumbu kabisa,marafiki zangu wengi ni wachagga wa rombo ila hawana ujinga wako,kwa kifupi kama rombo kuna wajinga wewe utakuwa m/kiti wao.
 
Katika jimbo la Rombo ambalo lipo chini ya Romani Selasini wa Chadema, nataka nitaje mambo mawili makubwa ambayo mbunge huyo alikuwa na nafasi ya kuyasukuma ila akashindwa kutokana na kutokuwa makini katika kuishawishi serikali na taasis husika pamoja na mashirika mbalimbali.

1. Mawasiliano ya radio, tv, simu. Minara ya Rombo ipo overloaded na minara ya Kenya ambapo kulipaswa kuwa na minara yenye nguvu kuliko ya Kenya ili watu wa Rombo waweze ku-access mawasiliano toka Tanzania. Alishindwa kushirikiana na serikali pamoja na idara husika kumaliza hilo tatizo.

2. Umeme wa REA.
Sasahivi maeneo mengi hakuna hata nguzo na wengine wamebaki na manguzo baada ya kushindwa kufuatilia huo umeme na kwa wakati kama ilivyo majimbo mengine, jukumu alilowaachia baadhi ya madiwani na watendaji wale ambao vijijini kwao hamna umeme kabisa wafuatilie wenyewe huku wengi wakikwama kwani hawana uelewa wa kutosha kwa kukosa mawasiliano ya vyombo vya habari vya ndani kama radio, tv, magazeti na pia madiwani hao hawana viti kule bungeni.

Matatizo mengine ya maji, uhaba wa ajira n.k yapo sehemu nyingi. Ila kwa kifupi, hajafanya chochote kwa muda wake wa ubunge.

Swali la KIZUSHI,miaka 50 ya UBUNGE wa CCM Rombo ulileta nini?KAma hakuna kitu sasa kwanini muanze kuwapigia kelele wapinzani?

Hivi nguzo za UMEME zinaletwa na MBUNGE?Je umeuliza kama hajawahi kufuatilia?Ubungo tumeona juhudi za JJMnyika kufuatilia MAJI ,je amefanikiwa?

Kwa taarifa yako tu,Wanachama wa CCM mnadhani upinzani ni UADUI ndiyo maana majimbo mengi ya wapinzani hayapelekewi hudma muhimu na hilo watanzania tunalijua.Lakini bado tutaendelea kuwachagua wapinzani.............Kwa sasa CCM imetuchosha................
 
FRATE MASIKA

-Ni msomi wa ngazi ya Stashahada na alikua anasoma shahada nafikiri

-Ni mtu mwenye Biashara zake Arusha na Useri Rombo

-Ana mke na watoto

-Mama yake ni Diwani wa Viti Maalumu CCM

-Ameshawahi kuongoza taasisi na hata NGO

-Ana miaka takribani 40

-Anatokea Tarakea

-Ni mzoefu wa mikakati kwa kuwa ana uzoefu wa hizi siasa kutoka kwenye familia ingawa wazazi wake wako itikadi tofauti na itikadi yake

BEN SAANANE:

-Ni Msomi wa digrii ya biashara (BBA) na (Masters) ya Uchumi na Masters ya Uhusiano wa kimataifa na Diplomasia kwa mujibu wa CV yake aliyoweka hadharani alipogombea Uenyekiti wa vijana Taifa kabla ya jina lake kuondolewa

-Ni Mkuu wa Idara ya sera na utafiti ya Chadema makao makuu

-Alifanya kazi kwenye kampuni ya Alpha kama meneja masoko

-Ni mjasiriamali pia

-Anatokea Tarafa ya Mashati

-Hajaoa bado ana miaka taribani 30

-Ni mzoefu pia wa mikakati kama huyo mwingine kwa kuwa tayari yupo kwenye siasa za kitaifa na ndani ya jimbo

huyo FRATE c ni yule dj na mc kwenye sherehe huko arusha, hana uzoevu na siasa akamrith dj mwenzake mbowe. Nani kakuambia kuwa hao ndo wasomi zaidi rombo kama ishu ni kusoma?

Huyo bensa8 aendelee kuwa na mabachela wenzake wa chadema kama dr slaa, mnyika, n.k. Rombo siyo jimbo la kuongozwa na mabachela.
 
wewe ni mmoja wa warombo mbumbumbu kabisa,marafiki zangu wengi ni wachagga wa rombo ila hawana ujinga wako,kwa kifupi kama rombo kuna wajinga wewe utakuwa m/kiti wao.

hujaonyesha ujinga wangu mbali na kusema tu. Kwanini rafiki zako wengi ni warombo wakati wewe siyo wa rombo? Huoni wewe ndo mjinga namba moja? Unataka kuolewa rombo? Karibu tukupe mume.
 
Swali la KIZUSHI,miaka 50 ya UBUNGE wa CCM Rombo ulileta nini?KAma hakuna kitu sasa kwanini muanze kuwapigia kelele wapinzani?

Hivi nguzo za UMEME zinaletwa na MBUNGE?Je umeuliza kama hajawahi kufuatilia?Ubungo tumeona juhudi za JJMnyika kufuatilia MAJI ,je amefanikiwa?

Kwa taarifa yako tu,Wanachama wa CCM mnadhani upinzani ni UADUI ndiyo maana majimbo mengi ya wapinzani hayapelekewi hudma muhimu na hilo watanzania tunalijua.Lakini bado tutaendelea kuwachagua wapinzani.............Kwa sasa CCM imetuchosha................

tafuta data ndipo useme. No research no rt to say. Cdm imetoa mbunge rombo mara mbili. Usipayuke kama vuvuzela kwa usichokijua! Ccm imefanya maendeleo makubwa rombo, cdm hamna kitu. Wewe lala tu hapo ubungo stend hujui rombo mpiga debe wa mabasi ya rombo wewe!
 
Umesema mwenyewe na research na right to talk,halafu unaniita mie mpiga debe wa mabasi ya Rombo ok................Siwezi kukataa wala kukubali maana sikujui wala hunijui...........

Lakini kumbuka waswahili wanasema Mwizi ni rahisi sana kumjua MWIZI mwenzake au kumfikiria kuwa ni MWIVI mwenzake sababu anadhani watu wote ni WEVI kama yeye............

Sasa basi sababu unazijua LUGHA za WAPIGA DEBE wa Rombo basi wewe ni mpiga debe mwenzangu maeneo hayohayo...............Pole sana mwaka huu CCM mtalia sana.....................
 
CCM acheni hoja za kitoto.

Keenja alivyokuwa ubungo alikuwa analala tu bungeni.
 
Umesema mwenyewe na research na right to talk,halafu unaniita mie mpiga debe wa mabasi ya Rombo ok................Siwezi kukataa wala kukubali maana sikujui wala hunijui...........

Lakini kumbuka waswahili wanasema Mwizi ni rahisi sana kumjua MWIZI mwenzake au kumfikiria kuwa ni MWIVI mwenzake sababu anadhani watu wote ni WEVI kama yeye............

Sasa basi sababu unazijua LUGHA za WAPIGA DEBE wa Rombo basi wewe ni mpiga debe mwenzangu maeneo hayohayo...............Pole sana mwaka huu CCM mtalia sana.....................

huijui Rombo kaa kimya!
 
huyo FRATE c ni yule dj na mc kwenye sherehe huko arusha, hana uzoevu na siasa akamrith dj mwenzake mbowe. Nani kakuambia kuwa hao ndo wasomi zaidi rombo kama ishu ni kusoma?

Huyo bensa8 aendelee kuwa na mabachela wenzake wa chadema kama dr slaa, mnyika, n.k. Rombo siyo jimbo la kuongozwa na mabachela.

siasa zilizopitwa na wakati hizi .kwa hiyo Ben Akioa Kesho atakua amekamilisha sifa za kuwa mbunge?Ndio kitu pekee mnachomchafua nacho
 
huijui Rombo kaa kimya!

Sasa kama siijui ROMBO kwanini unifananishe na MPIGA DEBE wa ROMBO?Ila kunamahali nimekugusa maana umekuwa mkali kweli kweli CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
siasa zilizopitwa na wakati hizi .kwa hiyo Ben Akioa Kesho atakua amekamilisha sifa za kuwa mbunge?Ndio kitu pekee mnachomchafua nacho

cdm ndo chama cha kuongozwa na mabachela siyo constituency ya rombo. Anashindwa kuoa akiwa kijana anasaka ubunge akaoe uzeeni? Kutongoza mwanamke kashindwa ndo akaitongoze serikali rombo ipate maendeleo?!
 
Sasa kama siijui ROMBO kwanini unifananishe na MPIGA DEBE wa ROMBO?Ila kunamahali nimekugusa maana umekuwa mkali kweli kweli CCM HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

umeloba mwenyewe
 
umeloba mwenyewe

Unabahati mbaya sana umekutana na mtu usiyemjua asili yake wala tabia yake pole sana...........Siye wenzako tunasheherekea yule Konda aliyempiga Waziri Mkuu mstaafu Judge Sinde Joseph Warioba kuupata UKUU WA WILAYA karibu Kinondoni.............................................:A S embarassed::A S embarassed:
 
cdm ndo chama cha kuongozwa na mabachela siyo constituency ya rombo. Anashindwa kuoa akiwa kijana anasaka ubunge akaoe uzeeni? Kutongoza mwanamke kashindwa ndo akaitongoze serikali rombo ipate maendeleo?!

Mnyika hajaoa na ameitongoza serikali imejenga barabara hapo unasemaje?
 
ubungo co rombo, na rombo kuna lami ya mbunge na serikal ya ccm. Ben kajichokea anatafuta huruma ya kupata pesa ya kuikimu familia ya baba yake
 
Back
Top Bottom