Miaka mitano ya Romani Selasini Rombo, ni sifuri

Miaka mitano ya Romani Selasini Rombo, ni sifuri

Acha vitisho ,tupo jimboni hata sasa.juzi ulileta ujinga kwenye sekretarieti ......

Hebu sema kazi za mfuko wa Jimbo zimetumika kiasi gani?Je ni kwa ajili ya misiba?ndio kazi za CDF hizi?

Selasini ana akili za kitoto sana! Anasema umeme wa REA ambao wananchi wamebaki na manguzo et ni wa chadema! Lengo ni ili achaguliwe tena! Aendelee na kampeni yake ya kuswaga tembo! Hahahahaha
 
hujaonyesha ujinga wangu mbali na kusema tu. Kwanini rafiki zako wengi ni warombo wakati wewe siyo wa rombo? Huoni wewe ndo mjinga namba moja? Unataka kuolewa rombo? Karibu tukupe mume.

ficha upum.bav.u wako lau kidogo mkuu,nilikuita mjinga which means unafundishika na wala haikuwa dharau kwako,badilika na km huna cha kupost hutopungukiwa chochote ukikaa kimya kuliko kujidhalilisha kwa maandishi yako haya.
 
CCM mnahangaika sana.Kama hawamtaki ni kwanini Evodi Mmanda na viongozi wa CCM wilaya kama akina Mzee Ringia wanampiga fitina na juzi hata kwenye kikao chenu mkarushiana maneno kuwa Urassa ni mamluki Ben Saanane kwenye chama chenu tena mkataka kumfukuza kwenye uongozi na uanachama kwa kumtuhumu kuwa yeye ni Chadema

Rombo itaongozwa kwa sera sahihi na chama cha Mapinduzi kimejipambanua kwa wananchi kwa barabara na huduma za maji ,umeme na elimu. Huyo kijana wa Chadema tunajua siasa anazofanya kwenye ground lakini ajue kuwa siasa hizo zitamrudi yeye na chama chake
 
Back
Top Bottom