SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Tutakukumbuka daima Baba.
1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar),
2. Mwl Nyerere HEP,
3. ATC,
4. Rushwa (imerudi upya).
1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar),
2. Mwl Nyerere HEP,
3. ATC,
4. Rushwa (imerudi upya).
Na anuke vizuriWatumishi wa umma kwa pamoja tunasema aoze salama
Atakumbukwa kwa kuua watu?Tutakukumbuka daima Baba.
HeheheBila katiba mpya,nae ni kama mwijaku aliyechangamka
JiweTutakukumbuka daima Baba.
1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar),
2. Mwl Nyerere HEP,
3. ATC,
4. Rushwa (imerudi upya).
😂🤣😂🤣Atakumbukwa kwa kuua watu?
😂😂😂😂😂Bila katiba mpya,nae ni kama mwijaku aliyechangamka
😂😂🤣😂😂😂😂😂🤣😂😂Watumishi wa umma kwa pamoja tunasema aoze salama
TingatingaJiwe
Chuma
Mzilankende
Hii Bhaghoshs. JPM
Chapa Ng'ombe
Baba Jesca
Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Nitalala Nao Mbele, Mtumbua Majipu Popote Yalipo
Baba JescaJogoo la shamba haliwiki mjini
Akikuwa na kaushamba fulani hivi
hivi kumbe tz iliwahi kuwa na rais anayeitwa magufuri? Mwaka upi nikumbusheHii Tanzania ilikuwa na raisi mmoja TU ambaye ni John Joseph magufuri mwamba wa Africa,utakuwa mjinga wa viwango gani unayeshindwa kukunari kazi kubwa aliyoifanya...trump anatufundisha tusiwe watu wa kuombaomba tutengeneze uchumi wetu wa nchi sio kutegemea misada na magufuri aliongea sana na kuasa nchi za Africa kuwa wamoja.