cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,326
kijana wa kibongo - siku hiyo hiyo angeanza kuomba mzigo!! ha ha ha
kijana wa kibongo - siku hiyo hiyo angeanza kuomba mzigo!! ha ha ha
Mkuu mbona yaeleweka uzuri tu.Mkuu mbona wanasema wanampa Prince William - Mjukuu wa Filipo na mtoto wa kwanza wa Prince Charles kwamba ndiye atakuwa mfalme ajaye baada ya kifo cha Bibi yake Malkia Elizabeth II. ?
Prince William, Duke of Cambridge, KG, KT, PC, ADC (William Arthur Philip Louis; born 21 June 1982) is a member of the British royal family. He is the elder son of Charles, Prince of Wales, and Diana, Princess of Wales. Since birth, he has been second in the line of succession to the British throne.
Hapana miili hupekwa dawa maalum na kutunzwa katika majeneza maalum.Hayo makaburi wanazika kwa zege ka ya kwetu huku au wanafukia, hafu kutembelea makaburi huwa sioni shida kuenzi ma ancestor wetu.
Huu utaratibu ndo mzuri na umeiletea uingereza heshima kubwa na iliweza kutawala dunia, utawala wao ni miiko ya kimila siku wakiacha watasambaratika hata huku Africa kinachotukwamisha ni kuiga democracy za nje wakati tulikuwa na watawala wetu wa asili tofauti na alivokuja mzungu na Berlin conference imagine Tanganyika imeinganishwa makabila mangapi wengine wavivu, wachapakazi wamekusamywa humo ndio maana watu hawana uchungu ni ufisadi, nepotism plus ukabila tu wakati wa chiefdom kila kabila lilikuwa ni chief wake na hyo ingerahisisha maendeleo ni ngumu kuibia ndugu mnao share language na vinasaba Kama Sasa.hii itakwenda mpaka lini? nchi nyingine ziliachana na huu utamaduni wa kifalme wa kale na kale.
Okay, got you clearlyHapana miili hupekwa dawa maalum na kutunzwa katika majeneza maalum.
Hilo la kuenzi walotangulia mbele ya haki ni muhimu.
Ila kuna makabila huwa yanachezea makaburi ya walotangulia.
Mkuu mbona wanasema wanampa Prince William - Mjukuu wa Filipo na mtoto wa kwanza wa Prince Charles kwamba ndiye atakuwa mfalme ajaye baada ya kifo cha Bibi yake Malkia Elizabeth II. ?
Prince William, Duke of Cambridge, KG, KT, PC, ADC (William Arthur Philip Louis; born 21 June 1982) is a member of the British royal family. He is the elder son of Charles, Prince of Wales, and Diana, Princess of Wales. Since birth, he has been second in the line of succession to the British throne.
Duh kwa wazungu kuchepuka huwa ni kosa lisilosameheka Ila heko kwa Elizabeth kumvumilia mumewe aisee wewe malikia kutoa talaka ingekuwa aibu ya Karne,by the way cheating ni makosa tu ka yalivo makosa mengineKiprotocali Philip alikuwa safi kabisa, ila kea kuchepuka, inasemekana malika alivumilia sana ili kulinda hadhi ya ufalme, akiamini kuvunja doa ingekuwa doa kubwa . Philip alikuwa na side chicks wanawake wanne muda tofauti katika maisha yao. Lakini malika alivumilia kwani ilikuwa chaguo lake , tena wazazi hawakupenda mtu wa kuja amuoe binti yao ila Elizabeth aling'ang'ana ,wazazi wakakubali yaishe, ndio maana alivumilia. Lakini kiongozi kweli jamaa hakujimwambafai hata siku moja. Funzo kea vijana leo, ndoa ina mabonde na milima,hakuna binadamu mkamilfu ,mkubwa kuvumiliana na kusameheana. Sio unadhiwa na mwenzio leo kesho unawaza kuvunja ndoa. Utafunga ndoa na kuvunja ngapi?.
... ha ha ha! Kila mmoja analala chumba chake na cheating kibao simu unaingia nayo bafuni inapewa umuhimu kuliko hata taulo!Wengine tuje na historia ya miezi sita ya ndoa zetu?
... duh! Hilo eneo litakuwa linatisha balaa!Kwa kuongezea, mwili wa marehemu Phillip umelazwa katika kaburi la muda ukimsubiri Malkia Elizabeth atakapofariki na watazikwa pamoja ndani ya kaburi moja.
Sehemu wanozikwa hawa wana ufalme wa Uingereza yaitwa "Vault" na imejengwa mithili ya gorofa zenye kila sehemu ina jina na kaburi ambapo inakuwa rahisi kwa wanofanya kumbukumbu kutopata shida.
Makaburi ya ufalme wa Uingereza yapo sehemu yaitwa Windsor Castle ndani ya kanisa la Mtakatifu George au St George Chapel.
Ndani ya makaburi hayo wamelala kuanzia mfalme Henry wa VI hadi babu yake Malkia Elizabeth II George wa V na baba yake George wa VI.
Wenzetu hawa huwa wanazuru makaburi na kukumbuka.
Sisi huita matambiko na kuna wakati husaidia mambo yakienda sivyo.
Kuna wengine usipohudhuria kaburio huwa ni shida na marehemu hukujia ndotoni kukuulizia kiaje?
Kwann hakuitwa mfalme wa uingereza wakati Ni mume wa malkia??
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
... sio kweli; kwanza angekuwa mwanamfalme wa Uingereza kwa maana ya kuzaliwa katika ufalme angewezaje kuwa mume wa malkia wa UK? Kwamba angemuoa dada/ndugu yake au? Hoja ni kwanini mume wa malkia anayetawala haitwi mfalme ni kwa kuwa hapawezi kuwa na wakuu wa nchi wawili at the same time.Kwa sababu sio mwanamfalme wa Uingereza.
penzi likidumu kwa mwaka tu inabidi mkatoe sadaka ya shukrani... ha ha ha! Kila mmoja analala chumba chake na cheating kibao simu unaingia nayo bafuni inapewa umuhimu kuliko hata taulo!
... duh hatari sana na wengine wanaenda kabisa kwa waganga wapate dawa za kumdhibiti mke/mume asikamatike nje huko; wakati the Queen and her husband the late Prince Philip walishaadhimisha Silver Jubilee (25yrs); Golden Jubilee (50yrs); chupu chupu waadhimishe Diamond Jubilee (75yrs) ya ndoa sijui mganga wao alikuwa nani.penzi likidumu kwa mwaka tu inabidi mkatoe sadaka ya shukrani
prince philip pia ni mwanamfalme lakini sio falme ya uingereza... sio kweli; kwanza angekuwa mwanamfalme wa Uingereza kwa maana ya kuzaliwa katika ufalme angewezaje kuwa mume wa malkia wa UK? Kwamba angemuoa dada/ndugu yake au? Hoja ni kwanini mume wa malkia anayetawala haitwi mfalme ni kwa kuwa hapawezi kuwa na wakuu wa nchi wawili at the same time.
Ila kwa taratibu zao, mke wa mfalme (of course anayetawala maana hakuna mfalme asiyetawala) ana title ya malkia ingawa mume wa malkia anayetawala haitwi mfalme (maana mfalme sharti atawale) bali hupewa cheo cha prince kama ilivyokuwa kwa Philip.
Ndio maana Elizabeth, mama yake Queen Elizabeth II alikuwa na title ya Queen kwa nafasi yake kama mke wa King George VI ila mume wake Queen Elizabeth II aliishia tu kuitwa Prince Philip na sio King Philip!
Hilo najua ila ni muhimu sana kuelewa mtiririko wa hoja ili kujua ni kwanini jibu fulani limetolewa kwa hoja fulani. Niliyemjibu alileta hoja ...prince philip pia ni mwanamfalme lakini sio falme ya uingereza
... ndio maana nikamwambia asingeweza kuwa mwanamfalme (Prince) wa Uingereza halafu amuoe binti mfalme (Princess) wa Uingereza; wangekuwa wameoana kaka na dada!Kwa sababu sio mwanamfalme wa Uingereza.
Hahaaaha... duh hatari sana na wengine wanaenda kabisa kwa waganga wapate dawa za kumdhibiti mke/mume asikamatike nje huko; wakati the Queen and her husband the late Prince Philip walishaadhimisha Silver Jubilee (25yrs); Golden Jubilee (50yrs); chupu chupu waadhimishe Diamond Jubilee (75yrs) ya ndoa sijui mganga wao alikuwa nani.
HAhhahahahhahahahahhah kwani tunalijadili kwa wapiWengine tuje na historia ya miezi sita ya ndoa zetu?