naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 668
ni jambo la kushangaza watz kuendelea kuvumilia serikali legelege iliyoko madarakani,uchumi umeyumba,huduma za jamii zimezorota,hali ya maisha kwa ujumla imendelea kuwa ngumu,haki inapatikana mpaka kwa migomo na maandamano,binafsi nilishawahi kupitia jukwaa hili kuonyesha udhaifu wa rais haswa kwenye mambo ya msingi,mfano wakati tukiwa kwenye matatizo ya mgao wa umeme rais anazungumza mwaka mmoja baadaye,kitaaluma rais wetu ni mchumi alipswa kuwambia wananchi athari za sasa na baadaye zilizotokana na mgao wa umeme na serikali imejapangaje kutatua kero zao,swala la madaktari kwa sababu pia ya kutona mbali atakuja kulizungumzia kwenye hotuba zake za mwisho wa mwezi,tumepoteza maisha ya ndugu zetu kwa sababu ya ubabe wa serikali,leo rais anakuja kuzungmza a month later,watz tuamke kwa nini asipumzike tukapata rais mwingine niinaamini hatutapata dhambi kwa mungu kwa kumwondoa huyu msanii madarakani,ninaamini mungu atasmama na sisi,hatuwezi kushindwa wenzetu wameweza why nt us? tuweke itikadi pembeni tupiganie taifa letu,nchi yetu si masikini ni kwamba hatuna viongozi wanaojali matatizo ya watz...
MUNGU IBARIKI TANZANIA..
Nawasilisha
MUNGU IBARIKI TANZANIA..
Nawasilisha