Miaka 7 ya JK hana alilofanya, miaka 3 iliyobaki hana jipya

ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako,ie uwezo wako wa kufikiri.unataka kikwete akuletee pesa ya matumizi na mkeo nyumbani?
fedha kushuka thamani inachangia ugumu wa maisha, na usifikiri watu hawafanyi kazi ndo mana wanalalamika siyo hvyo bali hawapati maendeleo katika wanachokitafuta mana kinaishia kwenye kula tuu.
 
Mungu hawezi kushusha baraka tanzania hata siku moja kama watu mnadharau mamlaka aliyoiweka duniani. Hivi rais ambaye hata dr alienda kumuomba awezeshe katiba mnamwita msanii jamani, mwogopeni mwenye kuweka mamlaka diniani
 
Chuki binafsi haifai eeeh tuiacheni jaman italeta tafaran wanadam nawaambia.unakumbka hilo songi la twanga pepeta
 
Back
Top Bottom