Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,322
- 33,126
Mheshimiwa muhusika umechuka hatua gani mpaka wakati huu nchi inatimiza miaka 51 ya UHURU
je?wewe utakubali mwanao umlete kusoma shule kama hiyo?tafadhalini wajibikeni
Wangekuwa wanasoma watoto wa wakubwa kilio kingesikika haraka!Ye ana shida gani mkuu wakati watoto wake wako Feza girls, Marian na St Francis? Kazi tunayo!!!!
Wananchi nao walipaswa kujitolea ili kuboresha hali ya shule!Nahii nayo inahusika BRN kweli?daa uongozi wa eneo umeridhika na hali hiyo kweli
Mkuu hawa watu walishaga jikatia tamaa!Hapo utakuta wakazi wa eneo hilo wamevaa T-shirt imeandikwa. chagua CCM maisha bora kwa kila mtanzania
Historia itakuwa imejirudia!Kwa kuwa Bagamoyo ni mji wa kihistoria naona wameacha makusudi ili wasome watoto mbumbumbu kihistoria..i.e sehemu ya kuzalishia wanafunzi mbumbumbu ambao watakuja kuwa raia mbumbumbu na ikiwezekana waje kutuongoza!