Miaka 51 ya uhuru wa mta-mnganyika angalieni jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,041
564533_446999998732963_1301715508_n.jpg

Mheshimiwa muhusika umechuka hatua gani mpaka wakati huu nchi inatimiza miaka 51 ya UHURU

je?wewe utakubali mwanao umlete kusoma shule kama hiyo?tafadhalini wajibikeni
 
Ye ana shida gani mkuu wakati watoto wake wako Feza girls, Marian na St Francis? Kazi tunayo!!!!
 
Nahii nayo inahusika BRN kweli?daa uongozi wa eneo umeridhika na hali hiyo kweli
 
Hapo utakuta wakazi wa eneo hilo wamevaa T-shirt imeandikwa. chagua CCM maisha bora kwa kila mtanzania
 
Kwa kuwa Bagamoyo ni mji wa kihistoria naona wameacha makusudi ili wasome watoto mbumbumbu kihistoria..i.e sehemu ya kuzalishia wanafunzi mbumbumbu ambao watakuja kuwa raia mbumbumbu na ikiwezekana waje kutuongoza!
 
Historia itakuwa imejirudia!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom