miaka 50 ya uhuru

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
jaman ee wana jamv mim bhado sijaona umuhimu wa kusheherekea miaka 50 kwan inafanyika dar kila mwaka na pia wao ndo wana haki hyo. Uku Arusha kuna watu hawajui kama kuna kitu kinachoitwa miaka 50
 
jaman ee wana jamv mim bhado sijaona umuhimu wa kusheherekea miaka 50 kwan inafanyika dar kila mwaka na pia wao ndo wana haki hyo. Uku Arusha kuna watu hawajui kama kuna kitu kinachoitwa miaka 50
Miaka 50 ni siku 365 zidisha kwa hamsini.

Kwa waarusha waambie mtoto akizaliwa mpaka aje kuwa "Seuri".
 
Huu umeme ni kwamba umekatika kwetu tu?sasa kuna haja gani yakusherekea wakati mie niko kwenye kifungo cha Ngeleja?
Siko Huru
 
Back
Top Bottom