GAGAGIGIKOKO
Senior Member
- Jul 31, 2011
- 125
- 16
Umuofia kwenu wana jf popote pale mlipo!! Najua miaka hamsini ya uhuru si mda haba,kwa maisha ya kuunga unga kama ya kwetu ya kitanzania bila shaka ni umri wa kuitwa kikongwe!!?Yapo mengi ya kutafakari lakini tunapokuwa tunayajadili yote yaliyofanywa na wakuu wetu wa kaya ktk awamu zote nne si dhambi tukijuzana pia wasifu na michango ya wake za maraisi wetu ktk ujenzi wa taifa letu kama njia ya kuwaenzi.Maana inasemekana kuwa kwa kila mafanikio ya mwanaume na mwanamke yuko nyuma yake!!?Naomba kuwasilisha