Wameweza kweli, haya uliyoyataja ni baadhi tu maana ukiorodhesha yote unaweza kuwa mwehu au ukawa na mtindio wa ubongo, huwa napatwa na hasira kila magamba wanapotoa slogan.................................. Ngoja niishie hapa nikiendelea nitatukana bure
kama ningejisahau nisingeyasema hay.Mbona umejisahau na wewe mwenyewe kuwa umeuzwa na sasa ni mtumwa wa mwekezaji fulani kutoka nje
kama ningejisahau nisingeyasema hay.
vilevile si wote katika nchi zilizouzwa walikubali kuingia utumwani na mimi ni mmoja wapo.
na wala kwenye maisha yangu hakuna kitu mimi wala familia yangu kinategemea wawekezaji.
Uhuru wa Nchi gani ?TUMETHUBUTU.
kuuwa reli,bandari,atc,general tyre,kilitex,mashamba ya mikonge,miwa,ngano,mpunga,sukita,marumaru,nknk.
TUMEWEZA
.kuuza nyumba za serikali,kugawa madini yetu kwa wageni,kugawa urithi wa ardhi ya watoto wetu kwa wageni,kuingia mikataba itakayo hakikisha watoto na wajukuu zetu watalipa madeni mpaka wachakae,kusomesha watoto wetu ulaya na marekani(nyerere alikuwa mjinga hakupeleka watoto wake),kuwapambanisha watanzania kidini,kugeuza ikulu kuwa uwanja wa fisi,kuwafanya viongozi wa uma kuwa wawekezaji kwenye mashirika ya uma,nk.
TUNASONGA MBELE.
kuuza mahakama,magereza,hosiptali za umma,jeshila polisi,jwtz,usiousalama wa taifa,takukuru,ewura,sumatra,malaka ya hali ya hewa,reli na atc kwa awamu ya pili,wizara zote,halmashauri zote,nyumba za serkali zilizobaki kwa wale viongozi waliokosa mgao wa kwanza,barabara zote za lami,mbuga za wanyama,mlima kilimanjaro,meru,boda zote nknk.
MPAKA HAPO MWENYE KUSEMA CCM HAIKUFANYA CHOCHOTE NI MVIVU WA KUFIKIRI.
Ukiulizwa uhuru huo uliupata kwa nani utasemaje ?Mwaka huu tanzania itasherehekea miaka 50 toak ipate uhuru wake kutoka kwa wakoloni na kujitawala huku tukiwa na raslimali lukuki ikiwemo aina mbali mbali za madini, mbuga za wanyama, fukwe na vivutioa mbali mbali vya watalii n.k lakini inasikitisha kuona mpaka sasa bado wapo watoto wa kitanzania wakiwa katika hali hii katika upatikanaji wa elimu hapa nchini. Hali ikiwa ni duni kiasi hiki katika utolewaji wa huduma mbali mbali za kijamii, viongozi wa ccm na serikali yake wameendelea kujilimbilizia mali, kujenga mahekalu mna kununua vitu mbali mbali vya kifahari ikiwemo magari ya kifahari n.k tafakari chukua hatua!
View attachment 37036
kaka mimi nimepanga namiliki cash tuSasa mkuu kama kila kitu wameuza ikiwa ni pamoja na ile ardhi ambayo umejenga kibanda chako si umebakia wewe tuu ambaye hujaingia kwenye mtego wao
uhru wa nchi ya ccm.Uhuru wa Nchi gani ?
kaka mimi nimepanga namiliki cash tu
nakubaliana na wewe mkuu.Mkuu hizo picha zinatia simanzi bana
Ni nini tunachosherehekea
Je zile bilioni wanazotegemea kusherehekea nazo si zingetosha kujenga madarasa kadhaa ya kuwasaidia hawa watoto
BTW watoto wao hawasomi kwenye hizi shule so tuendelee tuu kutumia bilioni kadhaa kusherehekea uhuru ambao hatuna