Zitto, Bashe na January wana tatizo moja wanafahamu mambo theoretically na kuleta mapendekezo. Tatizo ni kwamba mitazamo yao huwa rahisi tu isiyopima uhalisia au practicability mwishowe hoja zao ukiziangalia kwa makini unaona ni maswala ya kujiropokea tu.
In this instance udhani huyu mtu kama kaangalia receipt za serikali kwenye paye na haya mapendekezo yake yataathiri vipi mapato mbeleni na kuna plan gani ya kufidia.
Kwa mujibu wa NBS 2015 data Tanzania kuna wafanyakazi million 2 waliosajiliwa kama walipa kodi na katika hao only 4% ndio mshahara wao unavuka millioni moja na zaidi.
Clearly ukilinganisha mipango ya serikari na mapendekezo ya ACT wazalendo receipts zitashuka sana si ajabu kwa zaidi ya 70% maana idadi ya walipa kodi itakuwa ndogo ukizingatia waajiriwa wengi mishahara yao ni 300,000 mpaka 700,000.
Na hakuna mahala anazungumzia hizo shortfalls zitafidiwa na receipts zipi in short for the most part ni kama mtu anaejiropekea.
Hana tofauti na January Makamba kwenye kuropoka anaemfananisha Nyerere na ‘philosopher king’. Wakati Nyerere ni kiongozi ambae alikuwa na msimamo wa wazi kwenye ujamaa.
The irony of it all huko alipoitoa hiyo concept dialogue ya kwenye kitabu cha ‘Republic’ kwa mtazamo wa Socrates, ujamaa ni kwa maslahi ya viongozi sio nchi ni aina ya serikali ambayo Socrates alikuwa akiipinga kwa nguvu zote na ndio msingi wa kupendekeza ‘philosopher kings’ (neutral leaders, techonocrats)
Sasa utamwitaje mjamaa kama Nyerere a philosopher king ain’t that pathetic. To think his book review, revered people like Shivji thought his evaluation was praiseworthy that is beyond me.