miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Japo hauulizi siku ya kwanza, inabidi upende kumsoma mara kwa mara between the lines kujua kama ni wa ukweli ama la. Besides, uzoefu unaonyesha wa ukweli mara nyingi huwa hawana haraka ya P. Ila wadada na siku hizi ukisema unataka mfahamiane kwanza for smetime anahisi mwanaume siye coz hajaomba mchezo. Then baadae majutoooo...
Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.
Laiti angemwambia kuwa nivumilie mpaka hapo baadae nitakapokuwa nimejipanga hapo sawa. Lakini kuambiwa kuwa "Saivi nina mambo mengi nashindwa kuamua" ina maana hata hayumo kwenye plan zake...
Ni kweli mamie... Ndani ya hiyo 4yrs kawakatalia wanaume kadhaa tena waliodeserve kumuoa pasi na shaka, lakini aliwakatalia kwa ajili yake.
Habari zenyu bana....
"Gladdy najua unanipenda and of course na mimi nakupenda pia sana tu kama nitakosea naomba unisamehe... you are the woman na zaidi ya hayo una malengo yako hata kama nitakukosa haina shida kama utakuwa ktk mikono salama. mi nina mambo mengi nashindwa kutoa msimamo kwa sasa"
Ni maneno aliyoambiwa rafiki yangu usiku wa kuamkia leo. Anasema alihisi dunia imegeuka Up-side down. Moyo ulisimama kwa ghafla make hakuamini alichoambia na mwanaume ambaye amedumu naye miaka 4 akiamni ndiye mume wake mtarajiwa.
Aisee inauma sana..
anadai hakuna mkwaruzano wala ugomvi. Bali alitaka tu kujua mwanaume ana msimamo gani make walikuwa wanakwenda tu bila kujua hatma ya mahusiano yao.
Tumfariji na kujifunza pia kupitia relationship hii...
Charmy, ukiona hamna mwelekeo sepa tu, ikibidi usiage. Mara nyingi, kama si zote, hatima yako ipo mikononi mwako. Kuna kitu kinaitwa ku-overstay. Gladdy alifanya hicho.
Hii habari ya kusema kumsaidia mwanaume wakati wa shida haina maana! Wewe sio NGO.
Ndo maana sijawahi ruhusu msichana anisaidie kwa lolote. Labda zawadi za kawaida. Sitaki 'laana' zisizoeleweka.
Wanatokea ambao moyo wangu haujawaridhia.....lakin na amini Mungu atanipa wa kufanana nami
Marketing kitu gani??
Hivi kwa akili yako humu kuna wanawake wa kuoa??
Kama ukiamua kupata wa kupiga wengi tu, tena nje ya JF mkuu.
JF is never the ultimate source of girls.
Welcome to the world
kibuti ulipigiwa Kagera au Pangani mkuu? Halafu huyo mwanamke si angekuacha umalize UE ndio akupige cha mbavushit happens....mi nilikaa miaka 5 yote chuoni nikiwa na mpenzi mmoja na nilijua ndo ntakayemuoa but siku naanza UE ndo akaniambia amepata bwana mwingine na ndio atakayemuoa,was so heart broken but maisha yanaendelea.juzi kanipigia simu jamaa kamtema kaoa nwengine,nikamwambia nina mtu na a beautiful bby girl.life goes on
Duh maskini gladi wa watu mpe pole sana .unajua alikosea sana kukaa na mtu for 4yrs bila kujua msimamo wake manake angeliuliza hili ndani ya 6 months lingekua na maana zaidi. Sasa yeye kaona mwaka wa kwanza umepita kakauka tu , wa pili nao kanyamaza haulizi hadi huu wa 4 ndo anauliza , aisee mmmmhh hilo ni bonge la mistake
Kweli rafiki lkn hebu nisaidie hivi waweza anza safari na mtu bila kujua mnaelekea wapi, nakubali kwa siku za mwanzo kama 3 months hivi je baada ya hapo mnakua mnaenda tuuuu bila kujua mwelekeo. Hata hivyo huenda mimi nakosea manake ingekua mtoto wa form one hapo sawa lkn mtu mzima. unaanza uhusian na mtu kweli bila kujua mwelekeo for 4 good yrs. Aisee bora udanganywe lkn si kwenda kichwa kichwa . Je ktk kipindi hiki chote mnatambulishanaje.angeweza kuuliza na akadanganywa vile vile. mie nimempenda huyo kaka kamwambia ukweli. angeweza mpotezea miaka mingne zaidi. halafu mwanaume kama ana malengo na ww sio mpaka umuulize, wenyewe huwa wanajisesemesha semesha huku matendo yao yakishabihiana na wanachosema.
Sio kila relationship lazima iishie kwenye ndoa. Sometimes unakua na mtu kwa ajili ya kupeana kampani tuu huku ukiangalia upepo unaendaje. ukimuona yupo poa hapo ndio unamchumbia..
Uko sahihi mkuu hapa ni vema tukaangalia kosa la huyu dada iweje udate na mtu 4 yrs bila kujua mwelekeo wenu manake toka mnaanza mahusiano kila mmoja anaonyesha nia yake ili kama zinamatch then mnaendelea na mahusiano huku mkiyaangalia malengo yenu. Hapa inabidi wadada wabadilike wajue kuwa hakunaga muda wa kupoteza yafaa ufanye maamuzi mapena kama utaishi single au unataka kuwa married otherwise utadate na mtu bila kujua hatma yake.How come aliamini kuwa ni mume wake mtarajiwa? Kwani alikuwa amemchumbia? Alikuwa amem-promise kuwa atamwoa?
Kama mwanaume wa ukweli amekupenda kweli na anataka kukuoa kikweli, then he won't date you for four years. What for? Hapa sizungumzii "boys" bali "men". You can date with boys as long as you want, lakini hawatakuoa.
Yupo aliyemchagua kuwa nae.... !!yaani wanaume ni balaaa
Asante rafiki umenisaidia kuelewa unajua nilikua napata shida kuelewa hili kumbe kuna watu wanakua kwenye relationship kwa sababu ya company tu according to @ mafinyofinyo. Lkn hebu tujiulize unampaje mtu company for 4 yrs hapa mdada kuna mahala alikosea nafikiri.hili ni la ukweli pia sio kila mahusiano yanaishia kwenye ndoa
Kweli rafiki lkn hebu nisaidie hivi waweza anza safari na mtu bila kujua mnaelekea wapi, nakubali kwa siku za mwanzo kama 3 months hivi je baada ya hapo mnakua mnaenda tuuuu bila kujua mwelekeo. Hata hivyo huenda mimi nakosea manake ingekua mtoto wa form one hapo sawa lkn mtu mzima. unaanza uhusian na mtu kweli bila kujua mwelekeo for 4 good yrs. Aisee bora udanganywe lkn si kwenda kichwa kichwa . Je ktk kipindi hiki chote mnatambulishanaje.
Kudanganywa si sawa lkn ukilinganisha na kukaa kibubububu kwa miaka 4 naona heri hata ungedanganywa. Narudia tena kudanywa si vema na kibinadamu haikubaliki kwanini uanze mahusiano na mtu huku ukijua huna future nae.bora udanganyweee!!!??? mkidanganywa mnakuja kulalamika mmepotezewa muda.
shosti kadanganywa kwa love na cares for 4 years sahv unamuonea huruma na bado unaakubali kuwa kudanganywa ni bora zaidi. waliosema mwalimu wetu kipofu kweli hajakosea.
kuzidi wanawake?
Kudanganywa si sawa lkn ukilinganisha na kukaa kibubububu kwa miaka 4 naona heri hata ungedanganywa. Narudia tena kudanywa si vema na kibinadamu haikubaliki kwanini uanze mahusiano na mtu huku ukijua huna future nae.
Uko sahihi kwani kila binadamu yupo sahihi ktk mtazamo wake lkn naamini huwezi kaa miaka 4 kibubu bubu .i see!!! kwangu mim kudangaywa ni mbaya sana. bora twende hiyo kibubu bubu nikiona hailipi nafanya maamuzi magumu.
watu wanadanganywa wanajiachia na matokeo yake ndo hayo. kumbe ndo maana wanaume hawaachi kudanganya.