Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Ukiruhusiwa na ukapewa Kinga ufanye chochote (regardless legal or illegal) ili uendelee, naamini ndani ya mwaka mmoja tu unaweza kuwa Bilionea. Unaweza ukauza gongo, madawa ya kulevya, ukavamia na kuchukua mali yoyote ya mtu na kujimilikisha wewe, nk nk nk nk! Bahati mbaya sana Dunia ya namna hii inaweza kuleta fujo vurugu na machafuko.
Kiukweli ugumu wa kufanikiwa haupo kwenye ufanye nini ili ufanikiwe, bali ni kufanya hayo ndani ya "mipaka" iliyopo na "rasilimali zilizopo" na kisha ufanikiwe. Naamini utanielewa na uchambuzi wako hauna budi kuzingatia dhana hii.