Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

Aibu yenu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

-Wastani wa makusanyo Kwa mwezi Kwa miaka 5 ya Mwendazake 1.4T

Difference 1.4T-0.8tr=0.6T(bln 600)

-Wastani wa Makusanyo Kwa Mwezi Kwa miaka 3 ya Samia ni 2.3T

Difference 2.3T-1.4T=0.9T(bln 900)

Mpaka hapo Bomu limejulikana ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

View: https://www.instagram.com/p/C1kSOW5oS1K/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take:Usilinganishe Samia na mbumbumbu wa Uchumi

View: https://www.instagram.com/p/C1h1XRQo_Dc/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Watu wanateseka nchi nzima gharama za maisha ziko juu,fedha haina thamani kabisa,na unadhani kwa akili yako watu wanakula hzo ghorofa ulizotuma hapa,uchumi wa nchi haupimwi hivyo ndugu,weka hapa utuonyeshe ss tunaexport nn nje ili kuimarisha uchumi wetu na kuithaminisha fedha yetu.We export nothing thats why our currency is deteriorating,siasa za kusifu ujinga ndio sifa ya Tanzania kwa sasa na tuombe MUNGU siasa hz zisirithishwe kwa vijana nchi itaangamia kabisa siku si nyingi.Uchumi wetu hukua kwenye mifuko ya viongozi na watu wakubwa ktk serikali,yaani huwezi kusema uchumi unajua kwa kupandisha bei ya mafuta ya dizeli na petrol bila kujua athari zake ktk bidhaa kama sementi,sukari, na vingine vingi.Tukiwa na akili timamu bila kujivua akili zetu lazima tukubali kwamba hapa Tanzania hakuna uongozi wenye kurahisisha maisha ya watu haupo,lzm ujue kiongozi na watu wengine wengi serikali hawatumii fedha zao za mfukoni kugharamia mafuta ktk vyombo vyao vya usafiri ndio maana hili haliwahusu wao ila linawahusu watanzania milioni 60 jumlisha machawa wa viongozi waliojivua akili wakishangilia ujinga na upumbavu tu.
 
Another level mdomoni kwako au another level Kwa figures na actual?

Tuoneshe hizo another level za Mwendazake,mfano za Samia ni hizi hapa ๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C1Eih3pNx1H/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

View: https://www.instagram.com/p/C0JFPceteBv/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Kabla ya Mwezi Wa 6 , Uzinduzi wa Samia Housing Scheme Phase 2 utafanyika Dom

View: https://www.instagram.com/reel/C1Z8RWPNEjI/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Usilinganishe Samia na mbumbumbu wa uchumi

Toa siasa zako hapa, hizo national housing wataishi wa Tanzania milioni 60? hivyo vi ghorofa vingapi haviwezi kupumbaza watu, huo mradi hata bakhresa au Manji anaweza fanya, watu binafsi wamenyanyua tower za hatari unaniletea vi ghorofa uchwara vya NHC. aisee wanasiasa watu wa ajabu.
 
Porojo za kipuuzi ndio hizi, umeme mgao mwaka mzima, mfumuko wa bei, pesa imeshuka thamani, yani ni majanga, uaniletea vi screenshot vya kipuuzi, wa Tanzania wanataka kuona matokeo, kuona mabadiliko in real life huku kwa ground sio kila siku kutaja billions na trillions ambazo utaishia kuzisikia tu.

This time around hatuna kiongozi.
Sababu ya mgao huijui we mbuzi?

Mfumuko wa bei sijui pesa kushuka thamani na stori zingine za kutunga kama hizo umewahi kuona vimezuia maendeleo? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kama huoni kafanye oparesheni ya macho au nunua miwani utaona tuu.Ni Samia pekee ndio anafanya haya mambo hakuna mwingine kabla yake

View: https://youtu.be/cko82ib-Ndk?si=NF6_HJ6z9XMzbxy9
 
Daraja la Samia walijua?
Vituo vya afya na Zahanati nchi nzima kwenu hakuna?
Shule za sekondari za mkoa kila mkoa shule moja for girls kwenu bushi haziko? Nk,nk
 
Sababu ya mgao huijui we mbuzi?

Mfumuko wa bei sijui pesa kushuka thamani na stori zingine za kutunga kama hizo umewahi kuona vimezuia maendeleo? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Kama huoni kafanye oparesheni ya macho au nunua miwani utaona tuu.Ni Samia pekee ndio anafanya haya mambo hakuna mwingine kabla yake

View: https://youtu.be/cko82ib-Ndk?si=NF6_HJ6z9XMzbxy9

Hatuna kiongozi.
mmebakiza ku post vyoo, madarasa na vimradi uchwara, na kututajia billions na trillions hali ya kuwa hali kiuchumi sio nzuri.
 
Watu wanateseka nchi nzima gharama za maisha ziko juu,fedha haina thamani kabisa,na unadhani kwa akili yako watu wanakula hzo ghorofa ulizotuma hapa,uchumi wa nchi haupimwi hivyo ndugu,weka hapa utuonyeshe ss tunaexport nn nje ili kuimarisha uchumi wetu na kuithaminisha fedha yetu.We export nothing thats why our currency is deteriorating,siasa za kusifu ujinga ndio sifa ya Tanzania kwa sasa na tuombe MUNGU siasa hz zisirithishwe kwa vijana nchi itaangamia kabisa siku si nyingi.Uchumi wetu hukua kwenye mifuko ya viongozi na watu wakubwa ktk serikali,yaani huwezi kusema uchumi unajua kwa kupandisha bei ya mafuta ya dizeli na petrol bila kujua athari zake ktk bidhaa kama sementi,sukari, na vingine vingi.Tukiwa na akili timamu bila kujivua akili zetu lazima tukubali kwamba hapa Tanzania hakuna uongozi wenye kurahisisha maisha ya watu haupo,lzm ujue kiongozi na watu wengine wengi serikali hawatumii fedha zao za mfukoni kugharamia mafuta ktk vyombo vyao vya usafiri ndio maana hili haliwahusu wao ila linawahusu watanzania milioni 60 jumlisha machawa wa viongozi waliojivua akili wakishangilia ujinga na upumbavu tu.
Umeandika ujinga,mnateseka na nani? Kama mnateseka mbona hatusikii Bilioni vya vyuma kukaza na kufunga biashara au Benki kufilisika au Kushindwa Kulipa mikopo kama awamu ya Magufuli?

Wangekuwa wanateseka ungekuta Miji inajengwa Kwa Kasi kama ilivyo? Maelfu ya miradi ingekuwepo? Makusanyo ya Kodi yangekuwepo?

Natamani sana muendelee kuteseka ikiwa mnateseka na mahoteli ya Kitalii yamejaa ,Arusha imerudi ilikokuwa Kuna shida gani nyie mkiteka? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Tu postie ghorofa lingine alilojenga ๐Ÿ˜‚ , ndio kazi mmebakiza machawa๐Ÿ˜‚, unasema safari hii TRA wamekusanya trillioni ngapi?๐Ÿ˜‚
 
Toa siasa zako hapa, hizo national housing wataishi wa Tanzania milioni 60? hivyo vi ghorofa vingapi haviwezi kupumbaza watu, huo mradi hata bakhresa au Manji anaweza fanya, watu binafsi wamenyanyua tower za hatari unaniletea vi ghorofa uchwara vya NHC. aisee wanasiasa watu wa ajabu.
Mwendazake alishindwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜,sio huo tuu Bali Kawe,Morocco,Kigamboni,kote huko alishindwa.

Miaka 5 alikuwa anashinda pale Magomeni Kota ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

S
Kwa taarifa Yako tuu Samia anajenga Vyuo Vikuu Mikoa yote 14 ambayo Haina Vyuo Vikuu na anapanua vyuo vya Sasa
 
Umeandika ujinga,mnateseka na nani? Kama mnateseka mbona hatusikii Bilioni vya vyuma kukaza na kufunga biashara au Benki kufilisika au Kushindwa Kulipa mikopo kama awamu ya Magufuli?

Wangekuwa wanateseka ungekuta Miji inajengwa Kwa Kasi kama ilivyo? Maelfu ya miradi ingekuwepo? Makusanyo ya Kodi yangekuwepo?

Natamani sana muendelee kuteseka ikiwa mnateseka na mahoteli ya Kitalii yamejaa ,Arusha imerudi ilikokuwa Kuna shida gani nyie mkiteka? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Najua ww unayejibu haya ni waziri kabisa na sio mtanzania wa kawaida.nimefurah kwa majibu yako najua ww sio class ya watu tunasema wanateseka.Ww ni waziri na unawakilisha minority.
 
Watu wanateseka nchi nzima gharama za maisha ziko juu,fedha haina thamani kabisa,na unadhani kwa akili yako watu wanakula hzo ghorofa ulizotuma hapa,uchumi wa nchi haupimwi hivyo ndugu,weka hapa utuonyeshe ss tunaexport nn nje ili kuimarisha uchumi wetu na kuithaminisha fedha yetu.We export nothing thats why our currency is deteriorating,siasa za kusifu ujinga ndio sifa ya Tanzania kwa sasa na tuombe MUNGU siasa hz zisirithishwe kwa vijana nchi itaangamia kabisa siku si nyingi.Uchumi wetu hukua kwenye mifuko ya viongozi na watu wakubwa ktk serikali,yaani huwezi kusema uchumi unajua kwa kupandisha bei ya mafuta ya dizeli na petrol bila kujua athari zake ktk bidhaa kama sementi,sukari, na vingine vingi.Tukiwa na akili timamu bila kujivua akili zetu lazima tukubali kwamba hapa Tanzania hakuna uongozi wenye kurahisisha maisha ya watu haupo,lzm ujue kiongozi na watu wengine wengi serikali hawatumii fedha zao za mfukoni kugharamia mafuta ktk vyombo vyao vya usafiri ndio maana hili haliwahusu wao ila linawahusu watanzania milioni 60 jumlisha machawa wa viongozi waliojivua akili wakishangilia ujinga na upumbavu tu.
Eti Uongozi wa kirahisi maisha ya watu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
-Ruzuku ya mbolea
-Salary Juu
-Kilimo.cha Umwagiliaji
-Kufuta matizo kwenye Kilimo
-Mikopo Hadi Diploma
-Elimu Bure kuanzia chekechea Hadi University(Amefuta ada form six na mikopo diploma)
-CT Scans Mikoa yote
-Mabarabara Kila sehemu etc

Kiufupi yule mtu wenu alikuwa mzigo, Usilinganishe Samia na watu wapumbavu

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1741028154179760462?t=-MZRGqdVTXDkttyhoQfwXA&s=19
 
Mwendazake alishindwa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜,sio huo tuu Bali Kawe,Morocco,Kigamboni,kote huko alishindwa.

Miaka 5 alikuwa anashinda pale Magomeni Kota ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

S
Kwa taarifa Yako tuu Samia anajenga Vyuo Vikuu Mikoa yote 14 ambayo Haina Vyuo Vikuu na anapanua vyuo vya Sasa
Atajenga hadi mnara wa babeli, lakini kusema ukweli this time around tumeingia chaka, kila siku mnajenga, mnajenga, mnajenga na vipicha uchwara ndicho mlichobakiza, vyuo hata taasisi binafsi mbona wanajenga cha ajabu nini mzee? mbona unakosa akili? kujenga mambo ya kawaida hayapaswi hata kuwa headline utakuwa huna akili au umekosa cha kuongea, watu wanataka kero za umeme ziishe, gharama za maisha zishuke na ku solve mambo mengine makubwa kama kiongozi wa nchi, dah, kuna watu ni viazi, kichwani una mavi.
 
Eti Uongozi wa kirahisi maisha ya watu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
-Ruzuku ya mbolea
-Salary Juu
-Kilimo.cha Umwagiliaji
-Kufuta matizo kwenye Kilimo
-Mikopo Hadi Diploma
-Elimu Bure kuanzia chekechea Hadi University(Amefuta ada form six na mikopo diploma)
-CT Scans Mikoa yote
-Mabarabara Kila sehemu etc

Kiufupi yule mtu wenu alikuwa mzigo, Usilinganishe Samia na watu wapumbavu

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1741028154179760462?t=-MZRGqdVTXDkttyhoQfwXA&s=19

Ukishakuwa chawa

Ukishakuwa chawa unafuata maelekezo tu na una act tofauti na akili yako ndio jukumu kuu ulilonalo.
 
Atajenga hadi mnara wa babeli, lakini kusema ukweli this time around tumeingia chaka, kila siku mnajenga, mnajenga, mnajenga na vipicha uchwara ndicho mlichobakiza, vyuo hata taasisi binafsi mbona wanajenga cha ajabu nini mzee? mbona unakosa akili? kujenga mambo ya kawaida hayapaswi hata kuwa headline utakuwa huna akili au umekosa cha kuongea, watu wanataka kero za umeme ziishe, gharama za maisha zishuke na ku solve mambo mengine makubwa kama kiongozi wa nchi, dah, kuna watu ni viazi, kichwani una mavi.
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Wivu ,Wewe ndio umeingia Cha kike maana Wananchi wanafutahia maisha,chuki zako na shida zako hazituhusu.

Kazi iendelee ๐Ÿ‘‡

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1741022499524026533?t=-idcabx7GBV7H-aG3bg11Q&s=19
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom