Miaka 27 huna mtoto? Jichunguze

Yule demu kama asingetoa mimba yangu mwaka ule nina miaka 17 leo ningekuwa na mtoto mwenye miaka 10 daaah alanike yule mwanamke
 
Maisha mipango
....uctake kutuamnsha wote umu
 
Acha mambo yako wewe. Kumbe nyie ndio mnazaa mkiwa na miaka 18 halafu mnatujazia Panya road na mbwa mwitu wakabaji huko mtaani. Unaona sifa
 
Jay Z alimpata mtoto wake wa kwanza Blue Ivy akiwa na miaka 36..Kanye Kwest alimpata North West akiwa na miaka 35..Obama alimpata Malia akiwa na umri wa miaka 37...mswahili mmoja ambaye hana nyuma wala mbele analete uharo wake hapo..jinga kabisa
Acha upumbavu wako,usiishi kwa kukariri,kwa taarifa yako hao wana watoto kabla hawajaoa
 
mtoa mada amekumbwa na mawazo ya mtaani. katika fikra zangu nikawa najua kati ya mitandao ya kijamii yenye watu wenye weledi wa kuchambua mambo ni jamii forum na twitter kumbe si wote wenye critical thinking ability kumbe.
Mnaoogopa majukumu mnajulikana tuu,we unazani miaka 40 uzae utakuwa na nguvu ya kulea?? Inatakiwa hapo ndio uanze kulelewa na watoto,
 
Acha mambo yako wewe. Kumbe nyie ndio mnazaa mkiwa na miaka 18 halafu mnatujazia Panya road na mbwa mwitu wakabaji huko mtaani. Unaona sifa
Panya road mnawaleta nyie ambao mnazaa mkiwa mshazeeka ,mtu una miaka 45 mtoto wako wa kwanza ana miaka 15 unadhani unaweza kumdhibiti? Zaaa ukiwa kijana ndio unaweza kulea vizuri bob
 

Pamoja na hilo Kiongozi, kuna watu hudhania kwamba kua na mtoto tu basi atakuwa na manufaa kwako.
Kuna watu hujuta kwanini walizaa, kila kukicha hujuta kwa madhila yaletwayo na watoto wao.
Hizi mambo hazina formula, kumuomba Mungu tu, hicho ndicho cha msingi.
 
kama una yale mawazo ya kuzaa watoto kama mtaji ndo utakua na mawazo ya kukimbilia kuzaa mapema sana ila sion ubaya kwa mtoto wa kiume kupata mtoto wa kwanza ukiwa above 27
 
Ewalaa!! Mtoto siyo benki, nyumba ama asset yoyote useme itazalisha na kukupa faida.
Mateja, mashoga, makahaba na ombaomba waliozagaa mitaani ni watoto wa watu hao.
Unapozaa unaijaza dunia tu. Mtoto kukusaidia ni majaaliwa yake mola. Kama vile wengine walivyosaidiwa na majirani.
Tuache fikira potofu kwamba unazaa ili mtoto aje akusaidie....akiwa teja? Akifa? Akiwa kahaba?
Usimtegemee mwanadamu (mtoto), imeandikwa utalaaniwa.
 
Kwani mkuu ni matajiri wangapi wana watoto na watoto wao ni mateja?? Mateja,mashoga,Malaysia haijalishi ni familia gani wanatoka,acha uoga wa maisha zaa wewe
 
Kama we unawaza watoto wengine tunawaza maendeleo kwanza watoto baadae
Kwani ukizaa mtoto atakuzuia nini kupata maendeleo? Watu wangapi wana watoto na wana maendeleo,na wangapi hawana watoto na hawana maendeleo?? Zaa wewe acha uoga wa maisha ,acha kuogopa majukumu
 
Ndo hao mtoto anapewa elfu mbili ya matumizi akienda shule kisa anakimbizana kuzaa
 
Ndo hao mtoto anapewa elfu mbili ya matumizi akienda shule kisa anakimbizana kuzaa
Unataka apewe elfu 5 kwani shule anaenda kula au kusoma? Au anajitegemea,zaa wewe acha uoga wa maisha
 
Ndio maana nikasema MMU ndio jukwaa pekee ambalo unaweza kuandika kitu chochote( kuropoka) bila japo kutafakari kidogo.

Unaongelea kusingiziwa mimba na abortion,hii inaonesha ni jinsi gani ulivo bado na akili ya kitoto

Kwani aliyekwambia anafanya ngono ili apate mtoto ni nani?

Maisha kama ni mafupi ndio nini?

Ni hatari gani ambayo mtu atapata endapo hataacha iyo legacy mtoto?

Mbona unajichanganya mjomba sasa mtu ambaye umeshamwambia hana kizazi ,sasa hao watoto wa kumuita babu atawatoa wapi

Huu ni udhalilishaji kwa watu ambao hawana kizazi.
Jichunguze nyuzi unazotoa hapa jukwaani.

Life is no all about mtoto.
 
Mkuu hulazimishwi kusoma nyuzi zangu,kiherehere chako tu
 
Ni kweli kabisa mleta mada unachozungumza.Afadhali mimi nilipata mtoto nikiwa na 20 yrs.Nikitembea na mwanangu watu huwa wanadhani ni mdogo wangu ukizingatia tunafanana sana.Inaleta raha sana kuwa na mtoto ukiwa kijana mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…