Nilikuwa mkubwa saaanaa!2010 ulikuwa la 3 au vidudu?
Cake na heinekenn kwakweli nachagua heinekennEeeehhh
Umebadili gia angani jamani
Najaribu kumbuka ni lini niliweka post iko na sautiDuh hivi wenzetu mnasikia sauti humu?!!!

Ebu ngoja kwanza ebu niambie kwanza wewe
Niwacheee, niambie basi!
Nilijua we utakuwa upande wangu
OhoooooNa wewe unaamini kabisa sasa RRONDO nitaonana nae wapiii
EwaaaaaHahaha...
Umenikumbusha nyanya yetu moja hivi, alikuwa anapenda nyama na meno mdomoni hana...
Basi siku mkichoma nyama utampata yupo na kisu, anakata nyama ndogo ndogo anamumunya na kumeza...
Acha kabisa sauti ya kubembeleza unajiuliza huyu mtu muhenga au vipi



Huyo simuwezi walaa
Ohooooo
Siku hizi JF mnasikiliza hadi sauti!! Hivi unaniona niko na mdondo eeeh


mdondo wako wa wassapMmmmmhhhhhCake na heinekenn kwakweli nachagua heinekenn
Hahhaha ajue kabisa kwamba mimi na wewe hatutaweza kuonanaHa ha ha unamtosa kiaina! Tutaonana tena pale pale Bucket
Kuna mtu kweli nataka kusikia sauti yake dada!!Ebu ngoja kwanza ebu niambie kwanza wewe
Niwe upande wako kwa vipi na mimi nataka keki?Nilijua we utakuwa upande wangu

