Mi ugonjwa wangu (0)

Mi ugonjwa wangu (0)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,759
Reaction score
863,679
Yani nikiona post yoyote ina (0) yani haijapata mteja wa kuchangia huo ndio ugonjwa wangu napenda kuwa mno wa kwanza kwakuwa najiona kama ndio nimeikibiri
 
Dah madaktari wanakazi kweli kweli!
 
Yani nikiona post yoyote ina (0) yani haijapata mteja wa kuchangia huo ndio ugonjwa wangu napenda kuwa mno wa kwanza kwakuwa najiona kama ndio nimeikibiri

hebu kula kwanza ndo uje jukwaani bana!

utapaliwa....
 
Back
Top Bottom