Mi nipo tayari..niletee lako!!

Mi nipo tayari..niletee lako!!

Nimeipenda topic darling nkasema nikuite na wewe mume kipenzi uje ujionee

Heheh...nimekuja mpenzi wa mimi na nimejionea hivi vimbwanga lol...hizi tiba nyingine sijui huwa zatokea wapi...

Halfu mpenzi, wikiendi hii nataka twende kisiwani kwa ajili ya mapumziko...
 
mhm! :A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)


Sweet love missing you, naona mpaka jioni mbaaaali. Anyway we have to work. See you jioni.

miss you too my babe, sweet love, honey, darling, husband yaani hata kazi hazifanyiki kwaajili yako natamani usiku uingie haraka mpenzi tuwe tena pamoja, harafu husisahau ile kitu niliyokuagiza mpenzi!
 
miss you too my babe, sweet love, honey, darling, husband yaani hata kazi hazifanyiki kwaajili yako natamani usiku uingie haraka mpenzi tuwe tena pamoja, harafu husisahau ile kitu niliyokuagiza mpenzi!


Worry out darling! I love you.
 
jiandaeni kwa sala ya usiku
tuiombee na iyo kansa isitupate ambao hatutasakiwa
amen
 
Bora hata ntafute watoto yatima lol kuliko kunyonyesha mijitu mizima meno 32 mara yanakung'ata hahahaha
 
Imegudundulika sasa hivi ku-suck breasts sio tiba ya cancer bali inaongeza ukubwa wa 'Ziwa Lady'. Hivyo walioanza matibabu mnaaswa kuacha mara moja @ wivu mtupu baada ya kukosa wa kumtibu.
 
Back
Top Bottom