unakumbuka ile ya kama una kipaji kwa nini ufe na njaa.....
hahaaa yaani ushawahi kuona mtu anafurahia ugonjwa...bas ndo mie
hahahaha, katavi ndio faza hausi ujue.
Hebu watangazie kabisa walijue hili maana....
Rabeka mke wangu!!! Unaniita?
Mbona mimi hamniiti! Mpaka hao waje si ugonjwa utakua hatua mbaya!
ndio mume wangu, si unaona ile kitu unayonifanyiaga ni kinga ujue sasahivi itabidi nikugeuze mtoto mchanga kabisaa!
love you more sweetheart!!!I love you babe!!