Mi nipo tayari..niletee lako!!

Mi nipo tayari..niletee lako!!

Tehe..dawa ni kuwa neutral. Kwenye upinzani wa jadi makomandoo wamo pia.
Neutral wapi bhana wakati nampa matibabu ya cancer,hapo nipo serious sitaki adhurike
 
Humu kila mtu akipata wake, wengi tu watabaki. Lakini ukifanyika ufisadi wa mtu mmoja kuchukua 10, hapo wanyonge tutakosa.
kuwa mbabe tu katikati ya wachache ufaidi
 
dawa ninazo ya nini uumie mbona mgonjwa utatibiwa mpaka utahisi kuwa mgonjwa ndo raha

Hahahaha...naona daktari huyu ni mfano wa kuigwa. Mkuu foleni ikizidi punguzia kwangu 'next door'.
 
Back
Top Bottom