mi kama vile siwaamini tigo

mi kama vile siwaamini tigo

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
mh... mi siwaamini hawa watu
309963_520806181289072_955879133_n.jpg
 
hiyo speed nimeanza kui experience these days, kama ina ukweli.sema tu gharama bado zipo juu kidogo
 
Sijashawishika bado kutumia hii kitu.
Mlioanza kuonja tupeni feed back.
 
Hawa watu ni wa ajabu, wiki ya 3 sasa mtandao unasumbua mbaya, yani simu, sms hazitoki wala haziingii na leo wanatudanganyishia na mambo ya data wakati huduma za msingi zinawashinda..nimejiapiza wasipojirekebisha mpaka J1, natupa SIMcard yao niliokua nayo tangia 1999.
 
3G yenyewe bado ni ya kubahatisha bahatisha...huku si ndio itakuwa magumashi balaaa
 
hamna kitu juzi kwenye mtandao wao walikuwa wananadi hii kitu ingawa siioni..
 
Rollout na upgrade walifanya lini?
Tanzania hii....mh!!
 
Hawa watu ni wa ajabu, wiki ya 3 sasa mtandao unasumbua mbaya, yani simu, sms hazitoki wala haziingii na leo wanatudanganyishia na mambo ya data wakati huduma za msingi zinawashinda..nimejiapiza wasipojirekebisha mpaka J1, natupa SIMcard yao niliokua nayo tangia 1999.

Nashukuru umenena, kama wana masikio na wasikie la sivyo watatupoteza wengi, huu si wakati wa kubembelezana kama tunahudumiwa bure!
 
Sema naona improvement flani siku izi kwasababu zamani download speed yangu kwenye simu ilikuwa sivuki 700kbps lakini sikuizi kwangu lowest ni 2mbps.

Nikama nawaamini kiana mabadiliko yanakuja ..hii nikama trailer yao kwetu.naona miezi ijayo 3g itakimbia mpaka 5mbps.
Na kwa modem za 4g lte speed zitakuwa kubwa mno atleast hadi 20mbps
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368622841555.jpg
    uploadfromtaptalk1368622841555.jpg
    24.1 KB · Views: 103
Airtel wali introduce,wakaja voda na tigo nao wameibuka ..anywayza mimi navyo jua hizi zote 4G bado ziko under test mfano Voda wana itest kwetu huku Msasani

airtel wali introduce wapi!? Hakuna ktu kama hko wale walisema 3.75 g... Kumbuka hakuna approxmation kwenye speed ya internet
 
Dah.... Nimejaribu kuunga Megaboksi plus ya 25,000 ili nione tofauti but Majanga tupu heri hata mabundi night
 
Back
Top Bottom