Mhusika wa tukio la Salenda kama sio Mwendawazimu basi sinema miongoni mwa sinema za Kichina

Nadharia ya ugaidi nchini na duniani ina ukakasi mkubwa.

95% ya matukio ya Ugaidi yametengenezwa (false Flag terror). Kazi yao kuu ni
  • Kuongopea umma
  • Kujustify propaganda walizozisambaza.
  • Na pia ni moja ya mbinu za kijasusi za kuwaondoa watu ktk focus (ajenda wanazozijadili kwa manufaa ya umma).
5% ya matukio ya kigaidi yanaweza kuwa halisi. Na hawa malengo yao makuu ni kulipiza kisasi.

Sijui huyu jamaa alikuwa na malengo gani.

Kwa tz halijawaji kutoka tukio halisi zaidi ya kutengenezwa kwa kumbukumbu zangu.

Kwa uoni wangu hili ni eitha mhalifu ni mwendawazi au njtukio la kutengenezwa. (False flag terror), na kama ni la kutengeneza ata risasi zaweza kuwa si halisi ni baruti au rubber bullets.

False flag terror kivipi;- kavaa kofia ili tukio linasibishwe na Uislam. Uwendawazimu kivipi hata viatu kavaa kila mguu kiatu chake (rangi yake).

Nimesikia ktk mitandao huyu jamaa alikuwa akitamka Mbowe si Gaidi, Mimi ndie Gaidi.

Ili kuthibisha kuwa tukio hili ni halisi inahitajika kwanza
Tunahitaji picha za waliouwawa,
Tunahitaji kuwaona ndugu zao halisi wakithibitisha huyo mhalifu ni ndugu yao au wa kutengenezwa akitokea msumbiji au Rwanda.

Tunahitaji kujua kafikaje pale akiwa na silaha za kivita mbili na bastola.

Naamini CCTV zilizopo pale zitaonyesha alifikaji.

Tukio lile limetokea karibu na
  • Askari wanaokaa muda wote pale kwenye kona ya kuelekea Masaki.
  • Makao makuu ya jeshi,
  • Kituo cha Polisi Selenda
  • bank ya stanbic, ubalozi wa ufaramsa, Japan na Russia.
  • nyumba za wastaafu kadhaa wa JWTZ.
Kama mhalifu wa tukuo hili si mwenye matatizo ya akili, basi litakuwa ni tukio la ugaidi wa kutegenezwa.

++++++++++++++++++++
Majibu ya maswali niliyouliza yanaanza kujibuwa.

Tunahitaji kujua kafikaje pale akiwa na silaha za kivita mbili na bastola?!

Sikiliza aliyeshuhudia

Link

View attachment 1908041

Yaani uelezwe wewe kama nani. usipoamini kuna hasara gani kwa nchi? Umelazimishwa uamini kuwa tukio limetukia?
 
Ni tukio la kutengeneza. Gaidi huwa hapigi risasi randomly. Gaidi huwa anakuwa na specific target at specific time.

Subiria jioni serikali itaanza kujichanganya yenyewe na kujikuta inaanika ukweli wote bila ya kukusudia kwa sababu hawakuwahi kuwa na akili.

Jamaa inaonekana alikuwa na issue na police, ana kisasi nao..
 
Back
Top Bottom