Mhudumu wa baa na glass (utafiti huru)

Mlyuha

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
239
94
Nilikuwa kwenye usafiri wa 'public' jamaa mmoja akauliza kwanini wahudumu wengi wa baa (maarufu baamedi) huwa hawatumii glass pindi wanapokunywa bia? Nilifika ninapokwenda kabla sijapata jibu sahihi. Unafikiri ni kweli hiyo Ho?
 
Mlyuha

Glass ni kwa ajil.ya wateja so wao ni wahudum tu, pia wanahofia poison, drugs n.k
 
Last edited by a moderator:
Mtu na akili zako timamu unaweka mdomo wako kwenye bilauri za kwenye baa?

Kwangu hiyo huwa ni ishara ya kiwango cha usafi au kinyaa cha huyo mtu.
 
Wahudumu wengi wa bar ukiona wanakunywa bia ujue ni ofa kutoka kwa mteja. kwaiyo wengi wao huwa hawanywi zile bia badala yake wanajaza maji au soda kwenye chupa ya bia na kujifanya wanakunywa bia walizonunuliwa, sasa akiweka kwenye glasi si utashtukia mchezo?
 
Exactly, hiyo nishaishuhudia kwa macho yangu.
 
Mimi hua sio mwendaji wa bar, juzi kati hapa nilikua naendesha kikao cha harusi, kama kawaida hua kuna zile pesa za uchakavu, tuliletewa vinywaji vyetu na kuanza kunywa pole pole, mhudumu wa bar ile alikuja na glass (tunafahamiana vizuri nae na baadhi ya staff wa hapo kwenye hiyo bar/hotel) alinambia hivi; kaka yangu usipende kutumia glass za kwenye ma bar please; sikumuuliza sababu cause alining'oneza tu so nikamwambia nenda na glass yako nitakunywa kwa kupiga tarumbeta, hapa nilitoa sauti ya juu na wengine wakinisikia. Nahisi ipo namna na hizo glass za kwenye ma bar.
 
Wahudumu wengi wa bar ukiona wanakunywa bia ujue ni ofa kutoka kwa mteja. kwaiyo wengi wao huwa hawanywi zile bia badala yake wanajaza maji au soda kwenye chupa ya bia na kujifanya wanakunywa bia walizonunuliwa, sasa akiweka kwenye glasi si utashtukia mchezo?

Hahahahahaa hii ndio raha ya JF kuna watu wa kila aina.
 
Binadamu wana mambo sana, eti unahoji usafi wa glass wakati hapo hapo umeletewa aidha chakula au nyama au mchemsho kwenye sahani au bakuli za hiyo hiyo bar au hoteli. Si ungeenda basi na bakuli zako ?

Mfalme
 
Back
Top Bottom