Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,398
kwani ww ni mgeni wa mambo haya
Tena mgeni haswaaa na wala sijawahi na sitokaa nitumie pombe.
kwani ww ni mgeni wa mambo haya
Tena mgeni haswaaa na wala sijawahi na sitokaa nitumie pombe.
wamekuletea na kijiko, unavuta mchuzi hadi mluzi unasikika.Binadamu wana mambo sana, eti unahoji usafi wa glass wakati hapo hapo umeletewa aidha chakula au nyama au mchemsho kwenye sahani au bakuli za hiyo hiyo bar au hoteli. Si ungeenda basi na bakuli zako ?
Mfalme