Mhindi akaniuliza naolewa lini, nikarusha ngumi………! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhindi akaniuliza naolewa lini, nikarusha ngumi………!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mtambuzi, Jul 19, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280

  Kumbe sikujua kwamba wanaume wa kihindi huwa wanaolewa na wanawake.

  Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1996.

  [​IMG]
   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Lakini hata leo hii sipendi muhindi aniulize hilo swali.....................LOL
   
 3. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hivi mtu anawezaje kumuuliza mwanaume mwenzake kwamba anaolewa lini............. Hizi mila bana.........
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ahahhahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 5. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mwanamke ndiye anayetoa mahari so ndiye muoaji!! haina maana yoyote kutokana bado mwanaume ndio master nyumbani na anahaki ya kumnyanyasa mwanamke. Infact watoto wa kike huchukiwa maana wanapunguza mali kwenye familia
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahahahah
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Nisingependa kuulizwa swali hili abadan
   
 8. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kama una rafiki wa kihindi au kama ni bosi wako halafu hujaoa, tarajia kuulizwa hilo swali
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mtambuzi, "Are you married? or When are you going to be married/to get married?"
  Sasa hivyo ndivyo inavyoulizwa kwa kidhungudhungu tafauti na lugha yetu adhimu ambayo inaweka wazi kila kitu. Mimi kwa kuwa aliyeniuliza hivyo ni Mhindi, aniulize kwa Kiswahili au kwa kidhungu, ninamsamehe bure kwa kutojua Kiswahili na Waswahili. Lakini kama mwanamume mwenzangu Mswahili anailuliza "Umeolewa au utaolewa nini", reaction yangu ya kwanza ninamtia kidole....cha macho.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Collins

  Collins Senior Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama mwanaume anaolewa ina maana mwanamke ndo mtongozaji?
   
 11. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahaha! Kwani akikuuliza hivyo viungo vyako vinabadilika?
   
 12. m

  muhanga JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwa mwaka 1996 yawezekana kwli alikuwa akimaanisha mila zao lakini kwa miaka ya hivi karibuni ujue anamaanisha kuwa utaolewa lini ukiona hivyo ujue kisha kutazama sana maeneo ya nyuma a.k.a makalioni..... hawana haya hao wanafumua sana vitoto vinavyojipendekeza mjini hapa... laana hiyo
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Twende mbele turudi nyuma, kwani Mtambuzi umeshaolewa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Twende mbele turudi nyuma, kwani Mtambuzi umeshaolewa?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kumuuliza mwanamke wa Kiingereza kwa niya ya kuoana naye unamuuliza vipi?
   
 16. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #16
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Can I marry you my sweetheart........?

  Nadhani nimekujibu mkuu
   
 17. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  sasa na wao wakitalikiana hudaiana mahari?
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ah ah ah, sijawahi sikia kiinglishi icho...!
   
 19. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Muhindi hana adabu!
  Kisha mshenzi kupita sana!
   
 20. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Du!
  Yaonesha una hasira sana dhidi ya wahindi!
   
Loading...