Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
better....Haya bana
Ngoja mie niendelee kuuza chai
better....Haya bana
Ngoja mie niendelee kuuza chai
Ben do you see any obctivity??? zaidi ya kucheka cheka kama wanatumiwa vile wote ni wanafiki ZZK na Hilo Dingi jingine, wanacheka ka wapo kona bar!Ha ha haa,almost fainting...mkuu wewe umeona zawadi tu,no objectivity.duh!
......state of metagrabolised melancholia
haki za binadamu??? watu wanauliwa na ovyo policcm wanauwa ZZK anaratibu chini ya TISS hana jipya mnafiki ni mnafiki tu, nyie tumikeni kama ile mipira soon anawageuka, its up to you n BENNi kikao kinachoshughulika na maswala ya utawala bora, demokrasia na haki za binadamu miongoni mwa nchi wanachama.
Why too much hatred over him? Msiniambie amejipeleka.mwenyewe huko lets have sense mbona akifanya vitu vizuri mnamsifia akikosea kidogo tu mnasahau mazuri aliyofanya? Lets be real not disliking a person with no good reasons
Ni kweli kabisa mkuu nakubaliana na wewe
![]()
haki za binadamu??? watu wanauliwa na ovyo policcm wanauwa ZZK anaratibu chini ya TISS hana jipya mnafiki ni mnafiki tu, nyie tumikeni kama ile mipira soon anawageuka, its up to you n BEN
Mimi mwandishi wa habari acha kunikumbushia machungu.upendo kama wa rpc kamuhanda
[IMG]http://2.bp.blogspot.com/-7QjRn1d_SoA/UFAwjvwLBeI/AAAAAAADVbo/d3m9EstakIU/s640/4.jpg[/IMG][I][B]
Wa Kwanza kulia ni Afisa dawati wa CPA tawi la Tanzania Ndg. Said Yakubu. [/I][/B]
Binadamu tunapenda sana sifia pale mtu afanyapo matarajio yetu asipo fanya sisi bila kujua sababu tuna onesha chuki. Binafsi naona Zitto yuko right
Tunamtakia kila la kheri huko Sri Lanka atuwakilishe vyema, na wakirudi si vibaya kuwafahamisha watanzania faida ya huo mkutano kwa maendeleo ya nchi yetu.
btw, hivi afisa dawati ndiye desk officer kwa tafsiri sisisi ama ni kiswahili sanifu?
[/CENTER]
naona kambebea mzigo wake huyu mama
nina swali eti why most people hate Zitto?
ni kwa sababu huwezi kumwelewa mara moja,hawamchukii ila hawamuamini amini.naona kambebea mzigo wake huyu mama
nina swali eti why most people hate Zitto?