Mhe. Wassira azungumzia Mauaji yanayotokana na jeshi la polisi live on TBC

Nakumbuka CUF walishawahi kusema watapiga kura za maruhani,sisi huku bara 2015 tutapiga kura za hasira dhidi ya CCM,naomba niwaambie Wassira na Tendwa ya kuwa tatizo si Chadema kama mnavyojifikirisha,hata CDM mkiwafuta leo au kesho ni sawa tu,tutahamia kwingine mpaka tuwatoe madarakani,kwa kifupi wananchi wamechoka sana na wamekata tamaa.
 
wakiiba kura tunafanyaje. police hawa hawa ndo watatumika kuiba
za mwizi ni arobaini je unadhani mwizi huiba milele??? na je ufumbuzi wa wizi wa kura unapatikana majukwaani au kwenye vituo vya kupigia kura??? Je utawazuia polisi wasitekeleze wajibu wao???
 
Huyo amekaa Dar muda mrefu amejifunza misemo kama mwimbaji wa taarabu,au anatataka kuwa mlezi kwenye kundi ile la mwimbaji toka musoma Teh teh teh
Anasema Registraa wa vyama vya siasa ni wa serikali sio wa CCM na maamuzi yake ya kufuta chama hawawezi kuhijiwa mahakamani.

Swali: serikali inatokana na chama gani?
Raisi = Mwenyekiti wa Chanma
Makamu/ Mwawaziri ndio wajumbe wa kamati/halmashauri za chama
Hapo utatenganishaje chama na serikali?
 
SWALI LA KUJIULIZA WANA CDM, SLAA ALISEMA ANAJUA KAZI ZA KITAIFA NA ALIGHAIRISHA KWENDA IRNGA KUSUBILI SENSA, JE BAADA YA OFISI YA TAKWIMU KUTANGAZA KUEXTEND MUDA WA KUMALIZIA KUHESABU, SLAA KAMA KIONGOZ MWENYE BUSARA NA MWENYE KUHESHIMU SHERIA ZA NCH KWA NN ASIWE MVUMILIVU MPAKA KUWE TULIVU? &nbsp;&nbsp;<br>KWANGU MI NAMUONA SLAA KAMA KIONGOZ ASIYE NA SUBIRA MWENY KUPENDA MABAVU ANAYEPENDA KUWA JUU YA SHERIA KWA MWAMVULI WA KUTOPENDA KUBURUZWA.....NA SIDHAN KAMA TZ ITAJENGWA KWA MISING HIYO. JF TUACHE UNAZ WA VYAMA ZUNGUMZIA HALI HALISI YA KIONGOZ SLAA.

Unasemaje kuhusu Bilal kuzindua kampeni Bububu siku hiyohiyo?

Unasemaje kuhusu haki ya chama kufanya mikutano ya ndani?

Unasemaje juu ya umuhimu wa watu wanaoshika silaha (polisi) kutumia busara wanapopambana na wananchi wasio na silaha?

Unasemaje juu ya Wajibu wa Polisi kufuata sheria pia? (hawaruhusiwi kuua raia).

Unasemaje kuhusu mkutano wa uchaguzi wa UVCCM Temeke tarehe 1/9/2012 ambao uliisha kwa fujo za kupigana ngumi wakati wa sensa? Angalia hapa chini
SAM_4942.JPG
 
Huyu mwanga /sangoma.anasahau alivyosota alipohamia NCCR mageuzi enzi zile,hana maana kabisa ndo maana kateleleza familia yake.
 
Hivi huyu jamaa ni mbunge wa wapi, M4C inatakiwa ihakikishe hapati hata 10%. Kwanza huyu si alikuwa NCCR? These are those power mongers.
 
Unasemaje kuhusu Bilal kuzindua kampeni Bububu siku hiyohiyo?

Unasemaje kuhusu haki ya chama kufanya mikutano ya ndani?

Unasemaje juu ya umuhimu wa watu wanaoshika silaha (polisi) kutumia busara wanapopambana na wananchi wasio na silaha?

Unasemaje juu ya Wajibu wa Polisi kufuata sheria pia? (hawaruhusiwi kuua raia).

Unasemaje kuhusu mkutano wa uchaguzi wa UVCCM Temeke tarehe 1/9/2012 ambao uliisha kwa fujo za kupigana ngumi wakati wa sensa? Angalia hapa chini
SAM_4942.JPG
Mmmm Nimekusalute thinker.
 
ni ujinga fulani ameuongelea yani bado hajakata tamaa na propaganda zake,ajiulizi kwa nini anatukanwa badala yake anaomba watu waendelee kumtukana,kweli ccm hakuna viongozi ni 00

Mimi ni siku nyingi sana nimeacha kubishana na nyani pamoja na sokwe mtu. Mpaka hapo watakapobadilishiwa maumbile na kuanza kuongea.
 
Back
Top Bottom