MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ukweli usiofichika kwamba ulipokuwa ukisitisha ajira nchi nzima ulitoa waraka kwenda kwenye idara zote kuhusu kutoajiri je ? Uliposema kuwa uhakiki umeisha kwanini usingetoa waraka tena kama ulivyotoa mwanzoni ulipokuwa ukisitisha ajira ?
Ukweli mpaka sasa unatuacha njia panda sisi watanzania kuwa ajira bado umesitisha maana hajatoa waraka wowote wa kuruhusu taasisi za serikali kuanza kuajiri ,kupandisha vyeo ,kulipa madeni ya watumishi nk nini kimekushinda mpaka ushindwa kutoa huo waraka ?