Mhe Rais ulipokuwa ukisitisha ajira serikalini ulitoa waraka nini kimekushinda kutoa waraka tena,

Mbona unajiumiza kujadili kitu ambacho yeye ndiye mwenye maamuzi.
Waraka hakuambiwa na mtu yeyote autoe pindi alipositisha ,basi usitoke mapovu kwa kitu ambacho huna maamuzi nacho.
Ndoo mwisho wako wa kufikri eti ?
 
Siwezi kutetea chochote ktk siri Kali badala yake siri Kali inatakiwa kuajiri.
Suala LA kusema eti unapaswa kujiajiri halina mshiko ndo maana hata rais anaomba kura kwa RAIA ili raia wamuajiri
 
Mbona wametangaza kuwa wanaanza na kada ya afya inafutia elimu vutenj subira mtaajiriwa tu
Utasubiri sana mkuu na sku zikitoka itakuwa afadhali ya jana maana itakuwa ni maumivu zen faru atakuja na vimsemo vyake
 
Sifa zilimponza mmanga wa ngakani kwa ushindani wa pombe akaja kujinyia " MAMBO YANAKWENDA KOMBO" wanahara kama mmanga wa ngakani teh! teh! teh! Siku zote uwongo mwenzake ujinga...
 
Waraka kaulizie Zambia,Ghana,USA,UK,nchi za demokrasia,hii yetu ya kina Jecha ni mwendo wa kinyumenyume na matamko tu
 
Simujiajir wenyewe mbona ss tumejiajir maisha yapo gud tu mpaka muwe vibaraka wa serikal?
 
Simujiajir wenyewe mbona ss tumejiajir maisha yapo gud tu mpaka muwe vibaraka wa serikal?

Utakuwa mgonjwa wa ZIKA wewe,sisi madaktari tusipoajirowa nani atampanua mkeo mtoto atoke?

Nani atapima viwanja na mashamba kuepusha migogoro ya ardhi na ujenzi holela?

Nani atafundisha waalimu wa sayansi?
 
Usipoteze muda kujiuliza vitu ambavyo hautajibiwa. Mfano kila Mwezi tulikuwa tunasomewa makusanyo ya TRA na kuna miezi tulipewa hadi matumizi. Mwezi November na December 2016 hatujaambiwa chochote kuhusu makusanyo na jamaa wameuchuna kimya kama hakuna kinachoendelea. Chunga sana mtu anayependa sifa pekee, hayuko tayari kupokea mapungufu
Muambiwe nini wakati mnasema ni uwongo zimepikwa tengenezeni za kwenu za kweli
 
Hivi bado kuna watanzania mnaziwazia ajira za serikali duuuh Njooni tulime na kufuga
 
Back
Top Bottom