Mhe Rais ulipokuwa ukisitisha ajira serikalini ulitoa waraka nini kimekushinda kutoa waraka tena,

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
Ukweli usiofichika kwamba ulipokuwa ukisitisha ajira nchi nzima ulitoa waraka kwenda kwenye idara zote kuhusu kutoajiri je ? Uliposema kuwa uhakiki umeisha kwanini usingetoa waraka tena kama ulivyotoa mwanzoni ulipokuwa ukisitisha ajira ?

Ukweli mpaka sasa unatuacha njia panda sisi watanzania kuwa ajira bado umesitisha maana hajatoa waraka wowote wa kuruhusu taasisi za serikali kuanza kuajiri ,kupandisha vyeo ,kulipa madeni ya watumishi nk nini kimekushinda mpaka ushindwa kutoa huo waraka ?
 
Usipoteze muda kujiuliza vitu ambavyo hautajibiwa. Mfano kila Mwezi tulikuwa tunasomewa makusanyo ya TRA na kuna miezi tulipewa hadi matumizi. Mwezi November na December 2016 hatujaambiwa chochote kuhusu makusanyo na jamaa wameuchuna kimya kama hakuna kinachoendelea. Chunga sana mtu anayependa sifa pekee, hayuko tayari kupokea mapungufu
 
Hhahahha mkuu ina maana taarifa za tra ni feki
 
Wewe ndoo huna hoja unaropoka tu hii inshu ni hoja ya kitaifa watu kama ninyi ni kufire tu
Tafuta kazi ya kufanya mkuu habari za ajira za Magufuli achana nazo utapoteza muda, Magu tumsubiri 2020, huna na haja ya kujaa upepo kisa nimekwambia ukweli
 
Ukweli usiofichika kwamba ulipokuwa ukisitisha ajira nchi nzima ulitoa waraka kwenda kwenye idara zote kuhusu kutoajiri je ? Uliposema kuwa uhakiki umeisha kwanini usingetoa waraka tena kama ulivyotoa mwanzoni ulipokuwa ukisitisha ajira ?

Ukweli mpaka sasa unatuacha njia panda sisi watanzania kuwa ajira bado umesitisha maana hajatoa waraka wowote wa kuruhusu taasisi za serikali kuanza kuajiri ,kupandisha vyeo ,kulipa madeni ya watumishi nk nini kimekushinda mpaka ushindwa kutoa huo waraka ?
Watu washaanza kuajiriwa,we bado
 
Ajira ni jambo kubwa sana linalogusa karibu kila familia, huwezi kulinyamazia hadi 2020
Tushaona dalili hakuna Tumaini katika awamu hii wakuu fungeni mikanda, hizi post za ajira za Magufuli zimeshaletwa jamvini hata sikumbuki Mara ngapi vile, cha msingi msiziwazie zitawaumiza moyoni, tutafute alternatives maisha yasonge mbele, ifikapo 2020 tusifanye kosaaa
 
Serikali kutuajiri ni wajibu na wala siyo ombi ila sema huyu magufuri nchi imemshinda

Ova
 
hivi na utaratibu wa kuhama idara upo?yaani kutoka afya kwenda elimu?fedha kwenda misitu?
labda tuwe na subira kidogo!
 
Back
Top Bottom