TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,787
- 2,078
.....Mkuu Jasusi sikutegemea kabisa kama huyu naye angetia mkono wake wa kumuondoa Pinda madarakani.
Siku zote udhaniaye ndiye sio
.....Mkuu Jasusi sikutegemea kabisa kama huyu naye angetia mkono wake wa kumuondoa Pinda madarakani.
Jamani vyovyote itakavyokuwa ni vema tukakumbuka Bunge na Serkali ni mihimili miwili inayoendesha nchi na ni wajibu wa kila muhimili kuheshimu mwingine. Si busara sana kukurupuka kwenye kuwawajibisha mawaziri unless they are proved otherwise by CAG. Hili halitakuwa linajenga Tanzania tuotakayo. In other words -- kujiuzulu kwa mawaziri ni aibu kubwa kwa rais na waziri mkuu na kwa chama cha mapinduzi.
Ukiangalia kwa makini -- move hii hasa ukiangalia maelezo aliyotoa Deo Filikonjombe na Mwenzake Zambi ni ya kuimaliza CCM na serikali yake NA my take in this ni kwamba wanajiandaa kuvuka kuelekea CDM. Approach yao ni ya hatari si kwa CCM tu bali hata watakapokuwa wanakimbilia - CDM.
My advice to the President: Asikubali hata kidogo Bunge kutoiheshimu serikali na Bunge linabidi kuwa na busara kuliko lilivyo sasa -- kama halitaheshimu serikali nchi haitatawalika leo na hata huko tuendakao.
Ninawasilisha kwa mjadala.

Basi usituambie kwamba Mkono kusaini hoja ndio alama ya kukubalika huko CCM. Mkono hana uzito ndani ya CCM. Ndani ya siasa za chama, Mkono hayupo kwenye mazungumzo!Katika chama kilichojaa ufisadi, fisadi mkubwa kabisa ndiye mwenye gravita kuliko hao kina Filikunjombe, Salim na Mwandosya ambao nao si mali kitu. Wamejaa rushwa na woga wote tu.
Basi usituambie kwamba Mkono kusaini hoja ndio alama ya kukubalika huko CCM. Mkono hana uzito ndani ya CCM. Ndani ya siasa za chama, Mkono hayupo kwenye mazungumzo!
Hawa ndiyo wafaao kuwa MAWAZIRI
Huyu mkono nae sio safi...si yule wa bodi ya mkopo iliyojaa uozo?
Kumbe Mkono nea shujaa!.
All of a sudden Mkono kageuka kuwa shujaa.
Kila mtu kasahau kama yuko kwenye "list of shame".
Lakini kwakua ana umuhimu wake kwa sasa,ngoja atumike tu.
Nitauliza siku za mbeleni kama kwenye list bado yupo au
katoka.
Sipati picha Lowasa na Chenge wakitia sign this night
wataitwaje.
Watanzania ni watu wa matukio sana baada ya hapo uwa wanayasahau yote.
Katika orodha ya Slaa aliyoitaja pale Mwembe Yanga Temeke Nimrod Mkono alikuwemo.
Leo baada ya kusaini amekuwa shujaa na kwenye kundi la ufisadi hayumo tena.
Lakini huyu jamaa si naye yuko kwenye kundi la mafisadi wanaoinyonya nchi hii kupitia kampuni yake ya uwakili?