tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,532
- 26,269
Mkuu usiwalaumu sana maana wametengezwa kuwa hivyo! Njaa ikizidi mara nyingi huwafanya wasiwe na uwezo wa kufkiria zaidi ya umbali wa pua zao! BTW hawa watu hawawezi ku-afford BIA na Gharama za Kuingia Disco... ila kama binadamu nao wanastahili kufurahia maisha kwa gharama nafuu ndiyo maana KIGODORO na pombe za mnazi, wanzuki na viroba huwa zinabamba kwa wengi wetu Mkuu... Maisha ni magumu kuliko mnavyofikiria wakuu...MAFISADI wanalitambua hili ndiyo maana wao hawahangaiki na wapiga kura bali WANATENGA fedha kwaajili ya MAWAKALA na TUME YA UCHAGUZI ili waweze kuchakachua both electronically n Manually ...Nguvu ya Ziada inahitajika kuleta mabadiliko si Dar es Salaam Pekee bali Tanzania nzima ...
Mkuu, umesema ukweli kabisa. Unajua mafisadi wa nchi hii wanafahamu kwamba wanaongoza MAITI ndio maana wanafanya ufisadi wote huu bila woga wowote.