RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,758
Nimetafakari sana, tena kwa kina hoja ya Mh. Mtemvu kuhusiana na wabunge kupewa mlungula ili kubariki Ufisadi mkubwa waliyofanya Prof Kapuya et al kujimilikisha UDA.
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Wananchi wa Dar es Salaam kukataa ujinga huu kwa nguvu zote, Haiingii akilini UDA iliyokuwa na Viwanja kila kona ya jiji kuuzwa kwa thamani ndogo kiasi hicho THEN all over suddenly, hata mwaka haujaisha ETI hao Mafisadi wameuza UDA kwa kampuni ya ELJAZEERA kwa thamani ya 12 Billions!
Ushahidi wa Kimazingira unaonyesha kuwa kati ya hizo 12 Billions kuna kiasi kimetengwa kwaajili ya kuwanasa baadhi ya Wabunge wakiwemo Serukamba, Kigwangala et al!!!
Wabunge wa Dar es Salaam mnatakiwa kuwa na umoja thabiti usio yumbishwa kwa maslahi mapana ya wapiga kura wenu.
All in all KUDOS Mhe Mtemvu.