Mhe Mtemvu Vs Prof Kapuya

Mhe Mtemvu Vs Prof Kapuya

Kapuya huyu huyu wa tortoise

Kapuya huyu huyu aliyembaka mtoto wa shule na kumuambukiza ukimwi halafu kesi ikazimwa na hawa maruhuni!!! Sasa anataka kufa huku akiwa amefisadi mali ya wadanganyika; wabunge wa DSM komaeni na hawa mafisadi mpaka kieleweke!!!
 
wote wale wale DINI moja so wataelewana tu msituzingue na sanaa zenu kwenye kamera

Najua unataka kuhamisha mjadala... mwenyewe unajiona bonge la spin doctor wakati unatabirika kirahisiii...
 
Mtemvu nae nadhani hayuko kwenye orodha ya watakaopewa mlungula, antafuta kujumuishwa, hili nalo litapita, nchi ya majuha hii ikiongozwa na mfalme juha. Sijawahi kuyaamini maccm
 
yaaani UDA inaenda hivi hivi mikononi mwa wenye nacho,jamani hii nchi mbona majanga hayaishi hasa hikimkipindi cha kikwete? mimi nasema kikwete angekuwa anagombea tena haki ya nani asngepata hata kura asilimia kumi,yaani the country is looted yeye kakazana kukenua meno tu..haweza hata kusimama na ku make maamuzi magumu.!!!!!!?
 
Hebu angalieni hesabu hii kwa wale mliokuwa hamjui. Kapuya ana hisa UDA. Na rafiki MKUBWA wa Kikwete hapa nchini ni Kapuya, narudia ni Kapuya! Ndiyo sababu kuna harufu ya Ridhiwani katika UDA. Hao wengine ni madalali tu wa kubeba mikoba!

Sasa kama hali ni hii,nani atamgusa mwana mfalme? Panya gani amvike paka kengele?
 
Sarakasi za magamba zimesha tuchosha na kwa sasa tunasemaa.......,

PANYA RD wanastahili kuhamasishwa waelekee masaki ...labda watawala wataelewa janga la social GAP walilolitengeneza ... Sasa hivi kero ni kila mahala! MANGU ameamua kuwafisadi madereva; Traffic wote wanatembea na vitabu vya kukusanya tozo zisizopelekwa serikalini ...
 
Suala hili lina mgongano wa kimaslahi baiba ya hao hao wakubwa ndio maana linachukua sura mpya kila kukicha.

Tuvute subra kwani mafahari wawili wakigombana ...
 
Hisa 51% zilikuwa za jiji maana yake mmiliki mkuu wa UDA ni wakazi wa jiji la Dar. Lakini unafanyika utapeli tena toka kwa wakazi wa nje ya Dar wao wamenyamaza tuu, watu kama Mnyika wakipiga kelele wao wako kimya tuu wanaona sawa tuu mradi wao wanauhakika wa kupata kahawa vijiweni.
Hebu hilo litokee Arusha ndio utajua nini maana ya mali ya wananchi. Dar amkeni mnaliwa hivyo
Arusha wameshakuwa mdebedo siku hizi,... GENERAL TYRE imeuzwa kama UDA, nao wako kimya kama wenzao wa dar.
 
Mtemvu na wabunge wa DSM komaeni mrudishe UDA,Huyu dadali wa mtoto mfalme hawezishinda nguvu ya umma.
 
Arusha wameshakuwa mdebedo siku hizi,... GENERAL TYRE imeuzwa kama UDA, nao wako kimya kama wenzao wa dar.
Mkuu hayo yalitokea wakati uleee !! Sasa hivi hata ushuru tuu wa masoko au mabango ya barabarani hakuna kufisadi. Wakurugenzi wa jiji kila anayepelekwa lazima apoe tuu na kufata madiwani wanahitaji nini kwa watu wao.
 
Mkuu hayo yalitokea wakati uleee !! Sasa hivi hata ushuru tuu wa masoko au mabango ya barabarani hakuna kufisadi. Wakurugenzi wa jiji kila anayepelekwa lazima apoe tuu na kufata madiwani wanahitaji nini kwa watu wao.
General tyre.. kama imeuzwa wakati wa honey moon ya Lema.. anyway, sikumbuki vizuri
 
Dili zuri mil 200 kwa bil 12 ni sawa na kila sh 1000 waliyowekeza wamepata 60,000
 
Wananchi walikuwa wanachezewa movie bungeni dairekta alikuwa ndugai kwi kwi kwi......!
 
Kama kawaida,watanzania tu watu Wa kuwaachia wanasiasa wafanye kila kitu,,,sisi ni wazee Wa kusikilizia na kusema,,,ewala,,ingelikuwa nchi nyingine sidhani Kama hawa panya wangekuwa wanapumua uraiani,,na ndio maana wanajigamba kwamba hawagusiki,,,hakyanani lazima watanzania tumkumbuke sana nyerere. Sidhani Kama angekuwa ni yy magogoni Huu upuuzi ungefanyika,,,YAANI KIKWETE NAMFANANISHA NA BABA ALIYETOKA GESTI NA TOTOZ NA KUKUTANA ANA KWA ANA NA BINTIYE NA BZI LAKE,kinachodndelea ni kudharauliwa kwa baba na mtoto kufanya atakayo,,,wameiba vingapi na bado wako madarakani????hii nchi kuja kuendelea ni ndoto kwa style hii.njia pekee ya kujikomboa ni kuiondoa Chama Cha Majambazi madarakani,
 
yaaani UDA inaenda hivi hivi mikononi mwa wenye nacho,jamani hii nchi mbona majanga hayaishi hasa hikimkipindi cha kikwete? mimi nasema kikwete angekuwa anagombea tena haki ya nani asngepata hata kura asilimia kumi,yaani the country is looted yeye kakazana kukenua meno tu..haweza hata kusimama na ku make maamuzi magumu.!!!!!!?
Kikwete unavyomwelewa sasa hivi ndo hivyo hivyo alivyokuwa anajulikana kabla ya 2010!! Hata akiongezewa hawamu nyingine mbili bado atashinda.
 
Back
Top Bottom