Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.

Mlio karibu na Mh Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.

Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Analijua Hilo atakamatwa ndo vizuri ili lile neno litimie
 
Hata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.

Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.

Halikadhalika,Wayahudi hakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.

Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.

Cause and effect.Siku Mrema alipoachwa kupigwa mabomu na polisi na kuruhusiwa gari lake kusukumwa na wananchi ndipo umaarufu wake ulipopotea.
 
Kweli nazidi kuamini kuna watu walioko kwenye system hawakupenda huyu GENTLEMAN TL Hata apone....ila ya Mungu mengi.jamaa anarudi home..... Home sweet home and not otherwise.katika historia ya siasa za Tanzania sijawahi kushuhudia chuki za wazi wazi kabisa za kisiasa kama awamu Hii.
Hatari kabisa yaani Lissu anawatia hofu hawalali kabisa kwani walitegemea arejee mfu lakini Mungu ni mkubwa!
 
inabidi nikaowe kwa wanyiramba hawa watu nadhani walitoka huko Ethiopia kwa mwana wa Suleiman king Haille Selasie. Jah Bless Bob Lissu.
 
Kesi zake nyingi zipo mahakamani, Zinaendelea zipo katika muendelezo, Hazijafikia ukumu , Hivyo mahakama haiwezi toa amri tu akamatwe wakati kesi zake zilizo nyingi hukumu adhabu yake hakuna kifungo cha ndani magereza wala nje nyumbani.
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.

Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.

Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
 
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.

Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.

Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama

Mie ni mmojawapo ... kuna nini nyuma ya pazia? Matamko mbalimbali na hii niokotayo hapa ... JF INTEL.
Yajayo yatafurahisha na kuwaacha wengine pabaya. Ya wahenga ... ukiona panafuka moshi ....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom