sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,134
- 4,252
Lissu waachane nae kama kweli wamekomaa kisiasa.Ni gharama kwa serikali ya Magufuli kuingia mgogoro na Lissu ,huku tukijua wazungu watatuadhibu bila huruma.
Lakini kuna vigogo lobbyist serikalini wapo standby kusafiri London, Washington, Hague,Stockholm, Oslo,Berlin, Paris,Pretoria, Addis Ababa,kwa pesa zetu walipa kodi watakao kwenda kutuliza hasira za wafadhili na wadau wa haki za binadamu.
Mchezo huu hauhitaji hasira,achana na Lissu,piga kazi.