Chadema inaishiwa nguvu sio kama mna nunuliwa nyie wenyewe kama chadema ni shida, mnafukuzana bila mpango, wanachama na wabunge wenu kulalamika hali ilivyo ndani ya chama bila hatua zinazo chukuliwa, kwa hiyo mnataka kutuaminisha Lwakatare pia kanunuliwa na CUF? wana chama wangapi wameenda NICE mageuzi pia wamenunuliwa? , tatueni tatizo lilipo chadema sio kutafuta sehemu ya kujificha wakati tatizo tunaliacha lipo kwa muda mrefu. Msizani CCM ni strong sana hadi itawale miaka hii yote la hasha bali upinzani Tanzania ni dhaifu.