kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
"Wakati wabunge wengine na viongozi wengine wanahama Arusha, Bashiru alinipigia, akaniuliza shilingi ngapi? nikamjibu mimi sio blueband. Nikamwambia nitagombea ubunge nishindwe, lengo langu sio kuwa mbunge kinyume na haki, lengo langu ni kupigania haki" Mhe. @godbless_lema https://t.co/x8XVHbGl7I