Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Mwali kumbe huwa unakuwa serious???....nataka na mimi nifanye kama huyo kijana...hope u wont be harsh kwangu!!
Hivi nimekua harsh? Nadhani ni mshtuko tu.
@Dazipozi: sorry kama nimekua harsh, ila next time make sure I am consulted before you make declarations that involve me.
@ Rejao: Ungesema wewe ningekushtaki kwa Protector wangu (Klorokwini) au kwa rafiki yangu (Ivuga).
Na wangeshindwa kesi ningepeleka kwa uncle na anti kabisa... bila shaka wangekwambia uache. Mi Mwali bwana!
 
lol...kumbe hapa una mabodgad kibao? dah, ama kweli hapa zipo namba nyingine hapana chezea!!
 
Hivi nimekua harsh? Nadhani ni mshtuko tu.
@Dazipozi: sorry kama nimekua harsh, ila next time make sure I am consulted before you make declarations that involve me.
@ Rejao: Ungesema wewe ningekushtaki kwa Protector wangu (Klorokwini) au kwa rafiki yangu (Ivuga).
Na wangeshindwa kesi ningepeleka kwa uncle na anti kabisa... bila shaka wangekwambia uache. Mi Mwali bwana!
S.Ivuga jana kakutafuta sana....ulimsabahi? alikuwa anapiga bia zake tu!!
 
Sijamuona toka jana... ngoja hangover yake ikiisha nitamtafuta.
Hivi unakumbuka siku ile alisema anakunywa bia mbili alafu kuna kitu atasema?
hajawahi sema hadi leo hii!
 
Ooooh!!! inamaana mdomo wake mzito hivyo? I told u that day...ungeniachia mimi nijiexpress myself!!
Hukutaka tu kupina nafasi, haya ona sana unakufa na kijibwa cha roho!!
 
Mimi? walaaaa
Sitarajii ujumbe toka kwa mtu yoyote, kwa hivo hata kama hanipi wake ni poa tu.
 
Wamegeuza uzi wangu kijiwe cha stori.
GM uko wapi mama...
 
Sijamuona toka jana... ngoja hangover yake ikiisha nitamtafuta.
Hivi unakumbuka siku ile alisema anakunywa bia mbili alafu kuna kitu atasema?
hajawahi sema hadi leo hii!

Mi pia nakumbuka.....kuwa hajakisema. Nadhani ulimtisha eeh Mwali!
 
Mi nimemtisha nini sasa? mbona nimemrahisishia sana kwanza? Hana mpango wowote naona.
But nampenda kama rafiki, ni bora asiseme atakuja haribu.
 
Samahani, kumbe wenyeji bado mpo?
Tunajadili nini hasa kakangu?

ajenda kuu ilikuwa ni mimi kuoga uchi endapo GM angekuwa mjumbe wa mjengo wa JMT.
Katikati ya mada ikajitokeza ajenda ndogo ya mimi kuwa Baba Mbunge endapo GM atakwaa kiti, nikipata upinzani mkubwa toka kwa Rejao ambaye so far hata mahitaji yake hayajui.
 
Asante kwa kunijuza. kabla sijachangia naomba unambie, hivi sasa unaogaje? unaoga na nguo?

Back
Top Bottom