Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Kweli hii lugha kama si ya kikubwa basi ni ya kitoto maana najaribu kuelewa sielewi hoja ya mwanzisha thread. Mpolee ni nani? Nini CV yake? Nini umuhimu wake kwenye jamii? ana connections na wakubwa waliotajwa au? Hebu tusaidieni jamani tuliokimbia umande...si mlitukubali wenyewe kwenye forum hii?

yamekuwa matangazo ya vifo ndugu?
Wewe endelea ulipopakuta, wala hamna shida.
 
Asante kwa kunijuza. kabla sijachangia naomba unambie, hivi sasa unaogaje? unaoga na nguo?

we angalia ahadi yangu, usitazame 'present situation'!
Hata Jakaya Kikwete (Ph.D) alipoahidi barabara za ghorofa watu tulimkubalia, hatukuhoji kama za chini ashamaliza au la!
 
Back
Top Bottom