Mhe. Godbless Lema alichana Jeshi la Polisi

Lema kwa kweli ni jembe. Anachana vibaya serikal legelege. Bonge la hotuba sijawai sikia.
Lema sio tuu ni jembe, anaweza kuwa ni zaidi ya jembe, bali ni shoka kabisa au sime ya makali kuwili, asipodhibitiwa ndani ya chama chake, anaweza kuhamashisha maandamano ya wananchi wote, kuelekea Ikulu, kumng'oa rais halali, hivyo anaweza kutenda jinai ya uhaini kwa jina la siasa.
Sio siri, Lema ni hatari, hamungunyi maneno!.
 
Kuhusu Utaratibu: Waziri Lukuvi,
Ameomba muongozo kuhusu kanuni ya 64 ikivunjwa na hotuba nzima ya kambi ya upinzani. Amesema wabunge wamekuwa wavumilivu, lakini hajui kama masikio ya Watanzania yatakuwa mavumilivu.

Mwenye kuijua kanuni ya 64 aiweke.

Mhe. Lukuvi anaweke nukuu baadhi ya maneno yaliyokiuka kifungu hicho cha 64.
 
hatimae lukuvi amesema hotuba ya lema imevunja kanuni ya 64,
Anaponda hotuba ya lema-na kusema amemvumilia lema hadi mwisho-
Swala la meya wa arusha limeleta tena mzozo
HIS TAKE-ANASEMA HOTUBA YA LEMA IMEJAA UCHOCHEZI MKUBWA KWA NCHI INAYOSIMAMIA MISINGI YA HAKI
 
Tundu lissu, lema na msigwa wame interrupt,lukuvi amekalishwa chini
bunge limekuwa ni kelele tu-kuna mtu atatolewa leo
 
Lema sio tuu ni jembe, anaweza kuwa ni zaidi ya jembe, bali ni shoka kabisa au sime ya makali kuwili, asipodhibitiwa ndani ya chama chake, anaweza kuhamashisha maandamano ya wananchi wote, kuelekea Ikulu, kumng'oa rais halali, hivyo anaweza kutenda jinai ya uhaini kwa jina la siasa.
Sio siri, Lema ni hatari, hamungunyi maneno!.

Pasco naheshimu sana mawazo yako na mijadala unayotoa hapa jamvini.

Lakini kwa hili la Lema naona umevaa magamba ya kijani.

Unakiri kwamba Lema hamung'unyi maneno kwa maana kwamba anasema ukweli, sasa tena anakuwaje hatari?? Uhaini unatoka wapi?

Nyie ndio mnaonufaika na serikali iliyopo kwa hiyo hata kama inawatendea maovu wananchi wake mnaishia kuipigia magoti na kuilamba miguu.

Ni hatari zaidi kama wanataaluma ya habari mnakuwa mbele kuwapotosha wananchi kwa maslahi binafsi.

Bila shaka unashindwa kusema ukweli kwa kuhofia kukosa "tender" za maonyesho mbali mbali wanazokupa.
 
Lema,lissu na msigwa wametolewa nje eti kwa sababu ya kuvunja kanuni
watu wanapiga kelele za people's power-naona wanajaribu kukatakata sauti
naibu spika ameagiza watolewe hadi nje ya geti
 
Back
Top Bottom