chameleon
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 555
- 170
The ones who cares
The ones who cares
Kamuulize huyo Lowassa aliyefanya hao machinga bodaboda wawe marafiki zakeMakonda wako kiboko yake chinga tu hana uwezo wa kuwatoa mjini. Alafu kumbuka hao chinga mamantirie na bodaboda ni marafiki wa lowassa.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mpka jpm amewaomba urafiki. VP hapo upo?
Your husbandWho cares
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo viti vya kijani havikutakiwa humo , hiyo rangi ni ishara ya nuksi .
Wewe kwa kuwa ume commentWho cares
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa apata mapokezi ya kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo yupo Nzega kwenye ziara yakikazi
Ukiangalia na hali ya sasa jinsi ilivyo huko mbeleni CCM watakanyagana sanaMbegu ya kura ukawa waliyoipanda 2015sio rahisi kupukutika tutegemee uchaguzi kwenye ushindani 2020.
Wewe na ukoo wako mliwahi kujenga lami?Halafu anatanua tu kwenye Lami yetu, fisadi lowasa usione vyaelea tumeviunda!!
![]()
Hivi huyo mzee bado anataka nini? Ingawa nilimpa kura yangu, lkn asingetufikisha Tanzania tunayotaka. Magufuli anatosha kutunyoosha. Maana watanzania hamna kizuri. Jk alitembea sana mkampa jina la vasco!!! Go magu!!!